Vipandikizi ndani ya upinzani

Rev J

Member
Sep 4, 2011
13
0
Suala la malumbano ktk vyama vyetu vya upinzani kweli limekithiri,sasa tumechoshwa na malumbano yasiyoisha,malumbano yanayoendelea ndani ya CUF na NCCR Mageuzi ni dalili tosha kuwa kuna kuna watu wanaotumwa na CCM kuja kuchafua upinzani ili CCM iendelee KUTHUBUTU ZAIDI,KUWEZA ZAIDI na KUZIDI KUSONGA MBELE ZAIDI ktk kuwahujumu watanzania.Sasa tunataka wapinzani wenye uchungu na nchi na siyo kugombea madaraka tabia hii ni ya kiCCM ndani ya upinzani inakera sana.Wapo watu walitoswa CCM wakaingia upinzani kama
 
nyerere alikwishasema kuwa upinzani thabit utatoka ndani ya ccm yenyewe.wengine walielewa kuwa ni wale wanachama watakaotoka ccm na kujiunga upinzani lkn mimi nilielewa kuwa alimaanisha ni ule upinzani uliopo ndani ya chama tawala chenyewe.hivyo basi nawashauri tena vijana jiungeni na ccm kwa wingi ili mpate fursa ya kuwang'oa viongozi wabovu ndani ya ccm kupitia kura za maoni.
 
Neno la nyerere ndo akili za TAIFA?
 
Hamna malumbano ndani ya vyama vya upinzani. Chama cha upinzani kipo kimoja tu vingine vyote kanyaboya. Lakini kuna malumbano ndani ya vyama vibaraka vya ccm wakigombania pesa wanazohongwa na ahadi hewa.
 
nyerere alikwishasema kuwa upinzani thabit utatoka ndani ya ccm yenyewe.wengine walielewa kuwa ni wale wanachama watakaotoka ccm na kujiunga upinzani lkn mimi nilielewa kuwa alimaanisha ni ule upinzani uliopo ndani ya chama tawala chenyewe.hivyo basi nawashauri tena vijana jiungeni na ccm kwa wingi ili mpate fursa ya kuwang'oa viongozi wabovu ndani ya ccm kupitia kura za maoni.

Hapo umetudanganya mkuu kwani hata huu upinzani unaoonyeshwa na cdm ni mkubwa na next electiion utaamini ninachokuambia
 
Back
Top Bottom