Swali la tv mlimani lime-bore | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali la tv mlimani lime-bore

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by boma2000, Oct 29, 2010.

 1. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Swali alilouliza Bwana Damumbaya mwakilishi wa TV Mlimani limenishangaza sana has kwa credibility ya Chuo Kikuu.
  Kauliza eti JK ana maoni gani kuhusu matokeo ya utafiti wa REDET na SYNOVATE wa mgombea urais atayeshinda, matokeo ambayo JK amekuwa juu ya wengine na kusababisha vyama vya upinzania vilalamikie kuwa matokeo yana mkono wa CCM. Najiuliza kweli Chuo kikuu wamekosa swali la msingi la kuuliza?
   
 2. Mantissa

  Mantissa JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Eti jamaa nae kavaaa tai kwa kwenda kuuliza swali kama hilo, hivi anafikiria huyu? Mi naona wamwondoe Mlimani TV, hana kitu kichwani jamaa, bure kabisa.

  Hilo swali sijui mkurugenzi ndo kampa au yeye mwenyewe? Aiseeeee, ovyo kabisa ndo maana ana damu mbaya hafai hata kumuongeza mtu.
   
 3. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Ni kama maswali yamepangwa na JK alisha yafanyia kazi tayari
   
 4. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Duh kazi ipo mwaka huu tumbo njaaaaaaaaaaaaaaaa.
   
 5. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hii thread inanikumbusha uchakachuaji kwenye Uchaguzi wa mwaka jana baada ya CCM kubwanwa mbavu kila kona.
   
Loading...