Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jamani wana Jf mimi hii inanichanganya kidogo,inakuwaje Uraisi wa muungano uwe kwa mzunguko? mbona haijaelezwa hata ktk makubaliano? maana kunakipindi yalihojiwa haya na viongozi walijibu kuwa...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Waonya kukithiri kwa ubinafsi wa viongozi Watahadharisha utasababisha machafuko Watamani Azimio la Arusha lirejeshwe Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Siku ya jana kulifanyika ibada kubwa pale Zanzibar, na viongozi wakuu wa kitaifa walikuwepo. Nilishangazwa kwa jinsi protokali ya nchi hii ilivyomuweka Pinda nyuma ya JK, Bilal, Shein, Hamad na...
4 Reactions
126 Replies
11K Views
Hii ni kwa mujibu wa gazeti la mwananchi dec, 1 '09. Binafsi sijaona uzito wowote katika kumzungumzia huyu kijana zaidi ya kumkuza bila sababu ya msingi. Ila kwa kauli yake hii, 'wanachama hao...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Merry Xmas kwa wana JF wote! Najua viongozi wengi wa Chadema huvinjari humu jamvini! Napendekeza Ofisi ya Katibu Mkuu Chadema iandae "Salamu maalumu za Mwaka Mpya 2012" kwa wana-Chadema na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
"Me ninajiuliza aliyemshauli huyu mwanasiasa kijana kwenda mahakamani naye akukabari" je alifikilia nini cha msingi me naona kama aliwapigia magoti viongozi wake arudi tena wakae meza moja kabla...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mjasiriamali Mh. Diallo nakupongeza kwa kuanzisha Sahara Media Group wamiliki wa Star Tv na Radio Free Afrika. Kampuni hii inaonekana ina wafanyakazi wengi sana, nimeshuhudia leo wakituma salamu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kweli wajinga ndo waliwao, Lema na chama chake hawahudhurii vikao vya madiwani manispaa ya arusha zaidi ya kuchukua posho tu. Kazi ya kutetea rasilimali za manispaa ya arusha inafanywa kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika hari ya sitofahamu kwenye maslahi ya walimu nchini wamachama wa chama hicho mjini mbeye wamevamia ofisi za jumuia hiyo na kuwafukuza viongozi wa CWT na kisha kuzifunga ofisi zao. sakata...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Shaloom wanajamvi! Kitendo cha watendaji waandamizi wa CCM na Serikali mkoa wa Rukwa na wilaya zake kushiriki katika mapokezi ya aliyekuwa kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA bw Shayo...
5 Reactions
61 Replies
7K Views
Baada ya Kamati ya Makani kutoa ripoti yake kuhusu sakata la Jairo na kupendekeza kung'olewa kwa Jairo na mabosi wake pale wizarani, kumeanza kujitokeza kwa kampeni za kutaka Rais atekeleze azimio...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu kwa mjibu wa RFA jion hii, Hamadi Rashid na wenzake wataanza kuhojiwa kesho na zoezi hilo litakuwa la siku mbili mfululizo kupitia kamati ya maadili ya CUF. Tufuatilie.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Aisee nimecheka sana leo. Yaani these people have made my boxing day japo hakuna zawadi hata moja niliyopewa jana. Nipo naangalia ITV nawaona waathirika wa mafuriko Dar ambao wapo kwenye makambi...
0 Reactions
2 Replies
938 Views
Gold miners at the Chudja mine in north-eastern Congo. Picture: File By ESTHER NAKKAZI Posted Monday, December 26 2011 at 00:00 Trade in blood minerals that has been funding civil wars in...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Salamu wana jf,nimekuwa nikifuatilia hali ya mambo na mbio za uraisi wa 2015,nimeamua nianze na huyu mheshimiwa ambaye kwa wasiofahamu wanaaminishwa na vyombo vya habari kuwa ni kiongozi bora...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Matatizo ya Tume ya Taifa ya uchaguzi Tanzania ni makubwa sana. Misuguano iliyopo katika uongozi, serikali lege lege yote hayo yanatokana na tume ya uchaguzi. Udhaifu wa Tume ya uchaguzi ndo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
BOOKMARK THIS PAGE Maaskofu waonya posho mpya,ufisadi Send to a friend Monday, 26 December 2011 11:47 0diggsdigg Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 25/12/2011 Alipozungumza kuhusu wale wanaotetea mfumo wa Serikali mbili, Maalim Seif alisema kama ni hivyo yeye hana tatizo. Ila ziwepo Serikali mbili, moja...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
An ideal for which I am prepared to die This statement was made from the dock at the opening of Mandela's trial on charges of sabotage, Supreme court of South Africa, Pretoria, April 20...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani hili suala la posho spika alihitimisha kwa kusema tumeshaanza kuwa lipa sasa nashangaa watu wanaandamana kupinga lipi?kama sijaelewa naomba kueleweshwa.Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…