Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mujibu wa mwenyekiti wa halmashauri ya Misungwi, Waziri Magufuli hana mamlaka yoyote ya kuzuia ukusanywaji wa ushuru katika kivuko hicho, na kwamba kamwe agizo hilo hawatalitekeleza, badala...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Je hawa wabunge wame deliver kitu gani kwa wananchi mpaka sasa??
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Toa maoni yako. To me Anna Tibaijuka is the best, Kawambwa poor
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Ni Rais aliyepitia Misukosuko mingi Ni Rais alikumbana na upinzani mkali Ni rahisi aliyetoa uhuru wa kwa kila mtu asemalo Ni Rais alietuletea misaada mingi kutoka kwa wahisani Ni rahisi ambaye...
2 Reactions
220 Replies
19K Views
Toa maoni yako. To me Jakaya kikwete is the best, Shibuda, Dr Slaa, Hamad Rashid, mbatia, Mbowe, Mrema poor (bomu)
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Katika toleo la mwananchi la jana nisiloma habari kuwa Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amesema ripoti ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), ipo katika hatua za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimesoma kwa makini majibu ya Dr Slaa kwa mwandishi Mayage S. Mayage mpaka jana kwenye Gazeti la Raia Mwema, kwa kweli Dr Slaa amemjibu kwa weledi mkubwa tofauti na mimi nilivyofanya huko nyuma...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amelalamikiwa kuwa amevunja Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011kutokana na kitendo cha kuwafundisha wananchi mambo ya...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Karabatini jengo la makao makuu yenu! Ni aibu jamani mafisadi wote mlio nao mbashindwa nini? Wekeni thamani mpya basi walau itoe reflection ya miaka 35 ya Kuwepo kwenu. Acheni kutoa mapovu
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Nadhani imefika wakati tuchore mstari wa kuanza kujenga taifa jipya lisilokuwa na visasi wala malipiziano ya makosa yaliyofanywa na mtu siku za nyuma.Tuwafungulie wafungwa wote na tusamehe kesi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
  • Closed
Wakti wa kampeni za urais Dr. Slaa alitushauri waz-tz tusimchague JK. na kama hatumtaki yeye basi angalau tuchague hata Li-PUMBA! na endapo tutamchagua JK basi tutambue tumeingia katika matatizo...
1 Reactions
90 Replies
7K Views
Kila mwaka walimu wa tz wanatangaza mgomo husio fanikiwa, hii itakuwa mpaka lini! Walimu acheni mikwara ya kishamba,fanyeni maamuzi ya msingi . Kama ni noma na iwe noma ka vipi potezeeni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika jiji la Arusha, kituo kikuu cha mabasi kinamilikiwa na chama cha mapinduzi(ccm) na wala sio chini ya jiji. Je wana wa Arusha hili mnalitambua? Katika hali ya kustaajabisha, kituo hicho...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakuu mara nyingi tunatumia jamvi hili kuwakosoa na kuwapongeza viogozia watedaji mbali mbali. Kuelelwa mwisho wa mwaka kila great thinker ajaribu "kuvaa viatu" vya kiongozi yeyote wa umma au...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwandishi Wetu - Raia Mwema MAKAMU Mwenyekiti wa UVCCM, Benno Mali Ahojiwa polisi, risasi zajeruhi mwanafunzi wa CBE MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM)...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwandishi Wetu Abhijeet Group Serikali yatuhumiwa kutetea wawekezaji wakwepa kodi Ni kampuni kubwa ya Kihindi, magazeti India yaifichua KAMPUNI kubwa na mashuhuri nchini India, Abhijeet...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Watanzania tumetanguliza mbele ushabiki wa kisiasa uliokithiri kiasi cha kujisahau na kuanza kujipangia wagombea urais kupitia vyama vya siasa wakati ambapo bado kuna miaka minne mbele. Lazima...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Tanzania | Published On: Thu, Dec 29th, 2011 The government has dispelled fears that the proposed multi-billion-shilling railway project from Tanga,Arusha to Musoma and Kampala will run...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepata shida kidogo kuhusiana na suala la Kafulila lilivyoendeshwa na lilipofikia. Napata wasiwasi kwamba kuna mchezo mchafu na pengine Zitto anahusika na mchezo huo ndo maana akawa wa kwanza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
UK visas to be processed in Nairobi UPENDO HARTSUIKER Daily News; Wednesday,November 12, 2008 @21:15 The United Kingdom visas for Tanzanians wishing to travel to Britain would from...
0 Reactions
94 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…