Ungekuwa wewe ni kiongozi ungefanya nini 2012? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ungekuwa wewe ni kiongozi ungefanya nini 2012?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Dec 29, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wakuu mara nyingi tunatumia jamvi hili kuwakosoa na kuwapongeza viogozia watedaji mbali mbali.

  Kuelelwa mwisho wa mwaka kila great thinker ajaribu "kuvaa viatu" vya kiongozi yeyote wa umma au idara yeyote au mwanasiasa yeyote na atuambie anagekuwa yeye angefanya nini cha tofauti na angekitekelza vipi.

  Chagua cheo chocte kile cha kimaamuzi na kiungozi iwe ni mbunge wa jimbo XYZ au waziri wa wizara fulani au Mkurugenzi wa Idara fulani Au CEO wa shirika fulani la Umma au hata RAIS

  Yaani badala ya kusbiri kuwa REACTIVE tuassume kuanzia tare 1/1/2012 tunapewa nafasi ya uongozi tunayotaka. Je utafanya nini? vipaumbele vyetu vitakuwa vipi na ttahaiishaje vinatekelezeka. . Na baada ya Miaka mitatu ya uongozi wako(2012-2014) na VISION zako unaona kutakuwa na mabadiliko gani.


  Nawasilisha kwa mjadala
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu wangu hizi habari za kusadikika za nini tena?.. Waswahili wanasema NINGE ndio maana HUKUWA...kwa maana kwamba kama ulishindwa kuwa ulichokiona bora utaweza vipi kukiongoza kwa kufikiria?..Tuendelee tu nafasi zetu katika maisha na tuwakosoe viongozi wetu pale wanapokosea lakini kusema kama mimi ningekuwa Bakhresa wakati hata mtaji wa kuuza nyanya sina tunajiweka pabaya kimawazo..

  Na wala haina maana kwamba hatuwezi bali nafikiri ni bora tuweke mchango wetu kwa jinsi wewe utafanya nini kulibadilisha Taifa hili maana ni nia na dhamira yako lakini haya ya kuwa Waziri wakati huna hata ujumbe wa nyumba kumi itakuwa kazi..Tuelekezane kwa mazuri lakini sii kuingilia kazi za watu ni sawa na ndoto unamuota mke/mume wa mtu..
   
 3. p

  pilu JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utekelezaji ungetegemea pia katika uongozi huo pia upo chama gani coz kuna chama flani {magamba orijino}ukiwako huko hata upate nafasi gani kiutawala utakua mbovu tu kutokana na system ishaoza.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkandara ninakupata Lakini hoja hii nimeileta sababu wa mtazamo wanguni moja ya tatizo sugu walilonalo viongozi wetu kwa upande mmoja lakini kwa upande mwingine tulilonalo sisi wananchi wa kawiada.

  Mimi japo sina ujumbe wa nyumba kumi lakini naweza kutumia fursa hii kuelzea na VISIIONN yangu waziri wa Michezo, mbunge wa Kilosa au CEO wa NHCalitwakuwa kuachive nini ndani ya muda wa mika mitatu. Yaani ni style tu amabyo badala ya KUKOSOA tunaweza kuwalezea hao hao waipo juu nini tunatarajia wafanye na wangeifanya vipi.

  MFANO
  Kama waziri wa michezo Ningehakikisha ndani ya Miaka mitatu tanzania inapata medali ya dhahabu walau moja kwa dunia na medali kadhaa kwa afrika.

  HOW.? Ningemshauri rais kushirkiana na JKT au JWTZ wizara ya michezo na utamduni kuwe na task force na project ya kuibua na kuendeleza vipaji. Arusha inaweza kuwa center ya Riadha, Kigamboni Center ya Uogeleaji, Kanda ya ziwa Center ya kuendesha baiskeli na kupiga kasia.

  Inasikitisha
  • kuona kuona vijana wanapenda kujua kuogelea lakini wanafukuzana na askri pale feri. Na wahusika wapo hawapti msaada wa taasi fulani kuona inawezeje kuendeleza vipaji vyao siku za mapunziko au siku a likizo
  • Unaona nchi kama Burudi kwenye olympic Kuogelea ina wawakilishi lakini tanzania amabayo kijiografia ina space kubwa ya maji haina hata hata msiikizaji mmoja.
  • Inasikitisha yule kijana wa geita aliyemtembela Kikwete kwa baiskeli hakuna tasisis zimegundua kuwa kuna potential ya vijana kupata ajira kwenye michezo kimataifa na kuitangza tanzania kwa kunyonga baiskeli. Maye be alipewa bahasha ya vijisenti vichache akaambiwa kweheri..... Kwa nini Tanzana haijulikani hata kwa africa ina waendesha basikeli maarufu?....
  Sasa ni mambo kama haya amabyo sometime inabidi tujaribu kama tumevaa viatu vyao tuwaambie. May be hawajui nini cha kufanya. May be hakuna culture ya kutafuta mawazo mapya. Baaada ya Olympic 2012 tutaandika yale yale sasa mimi hapo juu nimetoa mfano mdogo wa kuvaa viatu vya wizara ya michezo. Najua its too late for 2012. lakini Tunatakiwa kuwa VISION ya michezo na mchango wake kwa taifa na sio sasa Michezo ni siasa za simba ya yanga tu.

  Wenzetu kenya na ethiopia michezo (riadha) ni ajira inayoingizia taifa na jamii pato la geni kubwa . Kuna watu wanajua hata kingereza na wanajulikana kimataifa sio kwa sabbau walisoma shule ila wanajua k sababu ya vipaji vyao. Tunaweza kusema Ukata wa fedha lakini hata kama hatuna fedha tunaweza kuibua vipaji na kuvipeleka nchi kama norway,sweeden na Qatar. Hata wakipeperusha bendera za nchi nyingine bado jina la tanzania na familia zao zitafadikaia kiichumi na kijamii.

  Mkandara Nimekusoma lakini nadhani tujaribu kuvaa viatu vyao na tufanye maaamuzi amabyo tungependa kuyaona . Tusiogope kukosoana. Nimejaribu wenye michezo
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mkuu Sasa assume wewe ndiye RAIS na sio wa MAGAMBA . wala wa MAGWADA. waambie ungekuwa wewe upo pale magogoni nini zingekuwa PRIORITY ZAKO na zingefanyika vipi. na baada ya miaka mitau tungeona nini?
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ningempiga vita Jk na Makinda wajiuzulu kwenye nyadhifa zao zinazoonyesha dhahiri wamezishindwa
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Wabunge:
  Ratiba zao za kuwa majimboni zinajulikana? ratiba zao za kuwa ofisini na kuwa open kwa wapiga kura zinajulikana? Ikumbukwe sio wapiga kura wote wanajua kuwa January makamba , Myika au Zitto ana blog . Hata kama wanajua sio wote wenye acess na uwezo wakutumia internet. Je Wabunge wana Register ya wananchi wanaokutana nao au kupokea malamishi na kero zao?

  Zaidi ya hayo Ningekuwa mbunge awe wa magamba au magwanda ningewajulisha wapiga kura wangu msimamo wangu juu ya Ongezeko la Posho. So far ni wachace sana tunajua msimamo wao.
   
 8. M

  Mkandara Verified User

  #8
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mtazamaji, Mbona hayo yaliwkisha shauri siku nyingi na watu kibao mmojawapo akiwa marehemu mzee Kawawa alipokuwa UK akihojiwa na mshikaji lakini haikuwa...Hivyo waziri utampa kazi ngumu sana kumlaumu ikiwa yale aloyataka hayakufikiwa kutokana aidha na ukosefu wa fedha ama michezo kuwa ni starehe ktk dunia hii ya Utandawazi na Umaskini. Hivyo michezo ni swala la uwekezaji na wameachiwa raia machinga wasiokuwa na mtaji, the next thing we know itakuwa kuuza watu na utumwa kurudi.

  Tuliweza sana wakati wa Ujamaa na sio kwamba haiwezekani leo ila power or ability ya viongozi wa michezo has been cut off..Hivyo a task with a plan bila kutazama au kuelewa vipengele vingine vya kimfumo vinavyowakwaza hawa watu, tutakuwa tunawaonea maana huwezi initiate program ambayo haikubaliki itakuwa scraped..Sijui kama unakumbuka Magufuli alivyotolewa nishai..To names the few Nyerere, Sokoine, Malima, Kolimba, Mwaikambo, Amina Chifupa, na walio hai bado kina Mama Tibaijuka, Mwakyembe, Siita, Zitto, Dr.Slaa, Nnauye, Rashid Hamad yaani mlolongo hauwezi kwisha..hawa wote ni victims ktk kulitakia mema Taifa lakini who is walking with them - Few ama hakuna, leo ndio wao wachawi hizo changes zitakuja wapi mkuu wangu..

  Na nadhani badala ya kujiita sisi Wadanganyika au Wabongo bora kabisa tujiite Machinga maana ndilo jina linalotafsiri vizuri fikra na mwongozo wa maendeleo yetu unamtegemea Zakaria..
   
Loading...