Mwanasiasa bora na bomu kwa mwaka 2011 katika siasa za Tanzania

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,974
785
Toa maoni yako. To me Jakaya kikwete is the best, Shibuda, Dr Slaa, Hamad Rashid, mbatia, Mbowe, Mrema poor (bomu)​
 
Mnyika, Mdee, Lema - Bora
Lusinde, Martha Mlata, Shibuda - Mabomu!
 
jukwaa la siasa linahitaji thread za maana na si upuuzi kama huu unaowainclude JK na Shibuda ktk viongoz bora.
 
Toa maoni yako. To me Jakaya kikwete is the best, Shibuda, Dr Slaa, Hamad Rashid, mbatia, Mbowe, Mrema poor (bomu)​
Unawachukia hao kwa sababu una uhakika hawawezi kuvutiwa na masaburi yako kama yanavyomvutia huyo unayemsifia.
 
Ubora wa Kikwete ni upi? kugawa pipi kwa watoto wadogo afanyapo ziara? kutaja urefu wa barabara za lami na kuteua viongozi wasio na uwezo sehemu nyeti kama Ngeleja na wengine kwenye nyadhifa mbalimbali? badala yake kasahau mambo muhimu na makubwa katika nchi la kwanza kutengeneza ajira, pili kupunguza mfumuko wa bei, tatu kuongeza uzalishaji ili tuwe na balance of payment, nne kuongeza kipato cha mtanzania na tano kuimarisha huduma za jamii ikiwemo afya, elimu, barabara, umeme na maji lakini matokea yake katika mambo yote muhimu ya uchumi kaamua kwenda kwenye huduma za jamii na kunyofoa vitu viwili pale barabara za lami na vyuo vikuu alivyofungua ambapo wanafunzi hawajaandalia soko la ajira hata pindi wakihitimu lakini mambo mengine haongelei kabisa na hayo anaita ni maendeleo makubwa ambayo serikali yake imewafanyia watanzania, ambayo ni vipengele viwili kati ya vitano kwenye huduma za jamii hapo hujataja mambo mengine kama Ajira, Mfumuko wa bei, kuongeza uzalishaji na kipato cha mtanzania
 
Januari Makamba - Bora (jimboni kazi inayofanya inaonekana) :poa

Sugu "Joseph mbilinyi" - Bomu!
:A S thumbs_down:

ni mtazamo Tu!

 
Back
Top Bottom