Waziri bora na bomu kwa mwaka 2011 katika serikali ya JK

Nianze kwa kusema kwamba viongozi wabovu kabisa katika nchi hii ni Kikwete na msaidizi wake Pinda. Kikatiba, hao ndiyo tegemeo la wananchi kuliko mtu yeyote hapa nchini lakini utendaji wao wa kazi ni hovyo na ndiyo unaoirudisha nchi hii nyuma kimaendeleo. Watu hao wawili wanasindikizwa na mawaziri wafuatao (by ranking):-
(1) William Ngereja
(2) Celina Kombani
(3) Stephen Wassira
(4) Mustafa Mkulo
(5) Shukuru Kawambwa
(6) Magembe
(7) ....
 
Hapa hakuna kitu!! Kama Kikwete ameprove kuwa ni mtu asiyejua nini anakifanya, waziri mkuu wake hali kadhalika, unategemea kuna waziri anaweza kuwa bora? Bora kwa lipi? Serikali ya ovyo ovyo, ya raisi na mawaziri ovyoovyo!!
 
bom langu la mwaka ni PINDA maswali ya papo kwa papo bungeni yote anaanza kwa kusema "MIMI NAFIKIRI"
Naomba thread ibadilishwe title itafute kiongozi aliechemsha kwa mwaka huu mi ningempa crdt bi kiroboto.
 
Kiongozi hovyo hovyo narudia tena hovyo, ni anayejiita mtoto wa mkulima Mhe. MKPP yaani Mizengo Kayanza Peter Pinda akifuatiwa na HIS EXCELLENCY VASCO DAGAMA. Mawaziri wengine mnawaonea tu.
 
​waziri maige wa barabara ya serengeti sasa ni reli ya wachina ya serengeti
 
wote ni mabomu na mkuu wao wa kuyu! Labda tuwapange-1:mtoto wa mkulima,2:. Selina kumbuni;3; wilium Ngalawa..... hawa ndi wamenibore sana mwaka huu....
 
Nianze kwa kusema kwamba viongozi wabovu kabisa katika nchi hii ni Kikwete na msaidizi wake Pinda. Kikatiba, hao ndiyo tegemeo la wananchi kuliko mtu yeyote hapa nchini lakini utendaji wao wa kazi ni hovyo na ndiyo unaoirudisha nchi hii nyuma kimaendeleo. Watu hao wawili wanasindikizwa na mawaziri wafuatao (by ranking):-
(1) William Ngereja
(2) Celina Kombani
(3) Stephen Wassira
(4) Mustafa Mkulo
(5) Shukuru Kawambwa
(6) Magembe
(7)!! ....

wasira msinziaji umempendelea kwa hio namba nadhani awe 1{b}. Ngereja awe 1{a}
 
Viongozi vilaza Tanzania
1. Kikwete
2. Pinda
3. Ngeleja
4. Wassira
5. Shukuru Kawambwa
5. Mwinyi
6. Mkulo
7. Kombani
8. ..........
list goes on
 
they are all bomu, bomuer and bomuest.........can't name waziri bora.....nada!
 
Tuwapime kwa kutumia scale ipi? Ikiwa tutatumia scale ya uongozi uliotukuka basi wote ni bomu. Ila tukitumia scale ya uongozi wa kubabaisha basi Sita ana ubora kidogo kwa sababu angalau amekuwa anatoa msimamo unaofurahisha watu kidogo; na bomu kabisa at the bottom nadhani atakuwa ni Wassira, ingawa huyu atakuwa anashirikiana taji hilo na wengine kama Kawambwa, Ngereja, Mkulo, Werema, Kombani,...
 
Ghasia,ni ghasia kweli!
Pombe magufuli,kama majina yake yalivyo.
Pinda,kapinda kweli.
Shukuru,tunashuru tu.hatujui kawaje waziri..., Ngeleja ni kama gereza.?
...,etc
 
Back
Top Bottom