Nani kasema DR SLAA atagombea urais 2015 kupitia CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani kasema DR SLAA atagombea urais 2015 kupitia CHADEMA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jumakidogo, Dec 28, 2011.

 1. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Watanzania tumetanguliza mbele ushabiki wa kisiasa uliokithiri kiasi cha kujisahau na kuanza kujipangia wagombea urais kupitia vyama vya siasa wakati ambapo bado kuna miaka minne mbele. Lazima tukumbuke kuwa, mgombea wa urais kupitia chama chochote ni lazima apatikane baada ya kufanyika vikao mbali mbali vya chama. Hakuna mgombea anayejiweka katika nafasi hiyo kwa amri yake. Si mbaya kama tutatabiri na kusema kuwa, huyu na yule wanafaa, lakini hili si suala la kujipa uhakika wa asilimia mia moja kuwa fulani ndiyo atakuwa mgombea wa chama fulani, si sahihi. Siasa za Tanzania hubadilika kama rangi ya kinyonga. Sikubaliani na wale wanaosema kuwa dr Slaa ndiye atakayekuwa mgombea urais kupitia CDM katika uchaguzi mkuu ujao japo anakubalika na watu lukuki. Siamini kama ndani ya CDM hakuna kiongozi mwingine mwenye sifa za kuwa mgombea zaidi ya Dr Slaa. Wengi wetu ushabiki wa kisiasa umetulevya kiasi cha imani zetu kupita kiwango cha kawaida. Yafaa kuibua mada za nani anafaa kuwa mgombea wa urais, lakini si kusema fulani ndiye atakuwa rais iwe isiwe, hiyo itakuwa si sahihi. Nani ana uhakika kuwa Dr SLAA atakuwa mgombea urais kupitia chama chake mwaka 2015?
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  tunasubiri kikwete atekeleze ahadi zake kwanza ili tujue tumpige na rungu gani ndani ya chadema.
  chadema kuna mawe ya kila dizaini kuanzia fatuma,rungu,bomu la mkono,.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Lakini ni vema zaidi kama ungekumbuka ule usemi usemao kuwa dalili ya mvua ni mawingu. Tunahitaji kuwajua wagombea mapema zaidi ili kuepuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia. Ni vema tuwajadili wale wote tunaohisi kuwa watagombea hii nafasi nyeti zaidi katika nchi.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  umetumwa na zitto?
   
 5. S

  Snitch Senior Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 22, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ni kweli kugombea urais ni haki ya kila mwanachama isitoshe hata Dr slaa nadhani afya na umri hata weza tena vinginevyo tutarajie miujiza kuwa na Vikongwe Kama wakina kingunge

  Dr age umekwenda sana hata kutembea tabu ila kinywa kiko poa anaweza kusema chochote na kuagiza lolote..

  Nadhani tuanze kufikiria Kati ya Hawa MBOWE . TUNDU na AKONAY hapo vipi?
   
 6. J

  Jadi JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,403
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  inaonekana ulitaka atajwe anko wako wewe ndo ungekaa kimya
   
 7. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Haya...kachukue malipo yako!
   
 8. M

  Mendelian Inheritanc Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dalili ya mvua ni mawingu, na mchwa akipanda kwenye jembe hufuata mpini na sio jembe jombaaaa. Dr. Slaa ni kama mvua huwezi zuia mvua kama inanyesha inanyesha tu, wape salaam zao waliokutuma ulete upupu huku
   
 9. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Wewe pia unachanganya mambo hakuna hata siku moja nimeona /nimesoma mahali kuwa mgombea wa urais kwa ticket ya CDM 2015 ni Dr. Slaa. Labda ulete ushahidi wa hoyo thread /comment ama andiko/chapisho kuwa Dr. Slaa ameteuliwa kuwa mgombea urais 2015.Watu wanapomzungumzia Dr. Slaa kuwa anafaa kuwa mgombea sio kwamba wanasema am imepitishwa kuwa mgombea .Inamaana EL na Membe ni wagombea kwa ticket ya CCM !? Coz nao wanatajwa kama Dr Slaa.Kwanza nakushangaa unauliza swali halafu unajijibu mwenyewe kwa kutoa maelezo kibao.
   
 10. FIDIVIN

  FIDIVIN Senior Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wewe umetumwa na Mbowe?
   
 11. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwani nimesema kuna hoyo thread, sijasema ipo hoyo thread, ingekuwepo hoyo thread ningeiweka hapa hoyo thread lakini sijazungumzia hoyo thread nimesema kuhusu imani ya watz wengi.
   
 12. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Hebu soma vizuri hizo sentensi zako halafu utuambie ulikuwa na maana gani, unashauri tujadili yupi anafaa at the same time hutaki kumjua nani anafaa, una tembo card master card kajipange upya kijana.
   
 13. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mbowe hatakubali dr agombee,ndy maana wanamgogoro wa chini chini.mbowe anataka yeye ili alinde biashara zake.capitalist siku zote huwaza faida tu,tena bepari wa machame ni zaidi,wana kauli yao.WAMETUMWA HELA MJINI.na anajitaidi sana amechukua na NK DODOM
   
 14. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mbona unazunguka mbuyu? alafu jaribu kuwa unasoma kabla ya ku post ona err zako kwenye red..
   
 15. J

  Jadi JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,403
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  inaonekana anamnukuu Mwakalinga ndo aliandika hoyo thread
   
 16. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wewe kama ni kijana bila shaka bangi inakusumbua, kama ni mzee siyo kosa la akili yako, tatizo ni umri wako. Soma kwa makini utagundua nimeandika nini. Punguza pombe.
   
 17. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wewe unajua chanzo cha hilo neno HOYO? Au ndo nyie wakurupukaji.
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Fatuma ni jina la mtu ama jiwe?
   
 19. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mmh! Kweli JF
  ni zaidi ya social netiweki...
  Inaelekea wewe ni zaidi ya great thinker kama unaweza ukafanya majumuisho kulingana na imani za watu na ukaandika ulichoandika ni maendeleo . Mimi nimeandika thread/comment/andiko so usizunguke.Nilichotaka kujua ni chanzo na njia ulizotumia mpaka ukaja na thread hii.Kwa sababu umeandika kuwa ni kutokana na imani za watanzania wengi ,ombi langu ni wewe kutujuza hapa jamvini njia na vigezo ulivyotumia kujua imani za watu mpaka ukafanya majumuisho kuwa wanasema Dr. Slaa ndio mgombea mteule kupitia CDM 2015.
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Zitto nae anataka kugombea urais? Yenyewe tu mwaka jana almanusura ubunge ashindwe urais si ndo atadondokea pua kabisa
   
Loading...