Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuanzia kesho Jumapili tarehe 8.1.2012 hadi 12.1.2012,tutafanya mikutano ya hadhara kwenye kata tano,mikutano hiyo inalenga kujiimarisha zaidi,na kuzungumza na wananchi,kuhus dira ya chama...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Kwa niaba ya Jukwaa tukufu la sisi Wapagani tunatangaza rasmi kuanza kwa kampeni za kinyang'anyiro cha uraisi kwa upande wa Zenjibari tunataka Raisi ajaye wa Serkali ya Mapinduzi Zenjibar atoke...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
umefika wakati kivuko cha kigamboni kugawanywa katika madaraja kulingana na vipato vya watu. kwa mfano wanaweza kutenga sehemu ndani ya boti na kuweka ya VIP na kuweka meza chache na kugawa soda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa mujibu wa doyo hassan,katika kipindi cha tuongee asubuhi on star tv. *Julius mtatiro peke yake alikuwa na imprest (hard cash)128,000,000Tshs. Ametaja wengi na idadi kubwa ya pesa waliyokuwa...
0 Reactions
0 Replies
958 Views
10th Dec, 2011 Sixteen years ago, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere warned that corruption if not addressed would disintegrate the Tanzanian nation. As Tanzania commemorates 12 years after his...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
30th December, 2011 Tanzanians expect an end to corruption and embezzlement of revenues from minerals, oil and gas as increased push for adoption of rules that force multinational companies to...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi karibuni tu Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kama ilivyoahidi chini ya serikali ya umoja kwa kitaifa,ilifanya marekebisho ya mishahara ya wafanyakazi wake likiwa lengo kuu ni kurekebisha...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
published On: Sat, Jan 7th, 2012 ICT | Published On: Sat, Jan 7th, 2012 Ngorongoro Conservation Area The Ngorongoro Conservation Area becomes the first National Park in the country to be...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
:A S embarassed: KAHAMA, 05 Jan 2012 MBUNGE wa jimbo la msalala wilayani kahama, mkoani Shinyanga, Ezekiel Maige ametoa shilingi milioni 500, zilizozutumika katika shughuli mbalimbali za...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Dr. Pombe! Wanaotaka uombe radhi ni wale wenye wivu wa mafanikio yako!! wanataka uombe radhi ili baadaaye waseme ulikurupuka ilhali umefuata taratibu zote! Kama wanalalamika shilingi hizo...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Ni mwaka wa 13/14 toka Baba yetu wa taifa hili atutoke. Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu VIONGOZI(MARAISI) WENGI KUWARITHISHA AMA KUACHA DAMU YA UANASIASA WATOTO WAO. Ninamifano mingi ambayo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mh. Meki Sadiki Amewaamuru Wananchi waliopewa hifadhi katika Shule za Jiji hilo na vitongoji vyake kuondoka haraka ili shule zirudi katika shuhuli zake za kawaida. Kwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ktk hali nisiyo amini, tumepokea taarifa za tukio lenye kufanana na la kigaidi pale feri, na tupofika amini usiamini tumekuta kijana anaekadiriwa kuwa na miaka 26 hivi, akiwa kituo kidogo cha...
18 Reactions
170 Replies
15K Views
Hivi ni kwa nini nchi hii na hasa za kiafrika na kiarabu mwananchi au mfanyakazi anapodai haki yake hutishiwa au hufukuzwa? kwa mfano madaktari wa Muhimbili,walimu n.k na majibu yao ni yale yale...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
:A S 465:Zitto anasikika kupitia Clouds FM, wenye access walmsikilize.
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Mh Sumaye, Ni imani yangu kubwa utaupata ujumbe wangu japo nina imani hautakaa sana hapa jamvini kwa kuwa ntatumia maneno makali kidogo. Nimekuwa nikifuatilia kauli zako siku nyingi bila...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Askofu Kilaini: Ndugai jibu hoja Thursday, 05 January 2012 21:04 Waandishi Wetu Mwananchi ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Mhashamu Methodius Kilaini...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Friday, 06 January 2012 19:53 Joseph Zablon SERIKALI imetangaza kuzifunga kambi rasmi 15 zilizokuwa zikitumika katika kuwahifadhi watu waliokumbwa na mafuriko, yaliyotokana na mvua...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Posted Date::1/29/2008 Lipumba asikitishwa umasikini baada ya kurejea toka Ulaya Na Muhibu Said Mwananchi MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema hali ya...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Tangu ile halmashauri ya CCM ikae Dodoma mwaka jana sijamsikia tena huyu msemaji wa chama tawala? Je wamemziba mdomo asiseme chochote au keshawekwa kwenye payroll ya Lowasa? Matukio mengi ya...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…