mgogoro CUF,ni imprest ya uchaguzi mdogo wa igunga.

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
kwa mujibu wa doyo hassan,katika kipindi cha tuongee asubuhi on star tv.
*Julius mtatiro peke yake alikuwa na imprest (hard cash)128,000,000Tshs.
Ametaja wengi na idadi kubwa ya pesa waliyokuwa nayo mifukoni nje ya utaratibu rasmi na anasema pale walipopeleka ajenda ya matumizi yasiyo sahihi ya fweza katika kampeni hizo ikiwa pamoja na chama kuangukia pua kwa kuaambulia kura chache.basi ndipo walipojengewa ajenda ya uasi ndani ya chama.

Pia binafsi ametamka kuwa kitendo cha kumfdukuza aliyekuwa muanzilishi wa chama hicho mzee james mapalala liliwagharimu cuf miaka cita kujijenga upya tanzania bara.
 
Back
Top Bottom