Kivuko cha kigamboni kigawanywe kwenye madaraja kulingana na vipato

king11

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
327
79
umefika wakati kivuko cha kigamboni kugawanywa katika madaraja kulingana na vipato vya watu. kwa mfano wanaweza kutenga sehemu ndani ya boti na kuweka ya VIP na kuweka meza chache na kugawa soda kwa watu wanaosafiri katika daraja hili na kuweka nauli ya sehemu hii ya watu mashuhuri ni sh 5000 na kuacha sehemu za watu makabwele waendelee kulipa sh 100


kuna watu wanafedha nyingi lazima wachangie fedha nyingi kwenye uduma za jamii ili watu wenye kipato kidogo wasichangie au wachangie kidogo katika uduma za jamii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom