Dr. Magufuli usiombe radhi!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Magufuli usiombe radhi!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Papa D, Jan 7, 2012.

 1. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Dr. Pombe!
  Wanaotaka uombe radhi ni wale wenye wivu wa mafanikio yako!! wanataka uombe radhi ili baadaaye waseme ulikurupuka ilhali umefuata taratibu zote! Kama wanalalamika shilingi hizo ulizopitisha ili kuvushwa kwa nini hawalalamiki kutozwa shilingi mia tatu kwa kila lisaa wanalopaki gari mjini? Kwa nini hawalalamiki kutozwa shilingi mia mbili kwa kukojoa kwenye public toilet? n.k!!!
  wooote wanaokushambulia hawatambui wajibu wao!!
  Yumkini ndio walioichagua CCM,
   
 2. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akiomba radhi nitamdharau sana!!
   
 3. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hakuna kuomba radhi,neno ndio limetoka hivyo halirudi tena mdomoni
   
 4. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  ....akae kimya kwa sababu alikosea kwa upande moja na hakukosea kwa upande mwingine; hakukosea kwa sababu alijibu kisayansi, sayansi inasema action and reaction are equal but opposite, walizomea akawapa kubwa; kwa upande mwingine, kwa sababu hana mtaji wa kisosholojia, alipaswa kujua anaoongea nao wengi upeo wao unagota wapi, hakutambua hili na hapa ndipo alipochemka.
   
 5. u

  utantambua JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huna haja ya kumwambia asiombe radhi kwa sababu historia inaonesha haijawahi kutokea kiongozi wa bongo neno la hovyo kumtoka halafu akaomba radhi. Akiomba radhi atakuwa kiongozi wa umma wa kwanza kufanya hivyo. Kwa sababu political culture yetu ni ya kihivyo nina tarajia kuwa hatakwenda nayo kinyume. Aroo kuwa mtanzania shida sana maisha magumu, kutukanwa unatukanwa halafu hakuna kuombwa radhi
   
 6. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  hatakiwi kuomba radhi, Magufuli usiombe radhi...
   
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Hakuna kuomba radhi hapa, hili ndio moja ya majembe machache yaliobaki CCm, watu tunalupa sh300 just for parking ya dk 10, madala dala sh450, public toilet sh200 na makodi kiba leo balaa liwe kwa jembe tu
   
 8. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Akiwemo magufuli.
   
 9. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  issue hapa sio magufuli kukosea ama kutokosea,suala ni kwamba mahasimu wake wa kisiasa na viongozi corrupt ndio wanakomalia suala hili kwa manufaa yao ya kisiasa...
  mbio za urais pia huenda zinahusika,kuna wana ccm wanamuona magufuli kuwa ni threat kubwa kwao kwenye malengo yao ya kisiasa,na kwamba anawafunika sana hata kiutendaji serikalini hivyo hutumia fursa yoyote kumsakama magufuli ila nina imani kuwa magufuli hata rudi nyuma kwa kuwa yuko sahihi....
  watu design ya magufuli ni wa kutiwa moyo na sio kukatishwa tamaa kama wanavyofanya akina guninita(kuwadi wa mafisadi)...
  go magufuli!!!
   
 10. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Anajua alifanyalo na ndio maana hadi leo hajaomba radhi. he will not do that.
  wasichojua ni kwmaba PhD yake sio kama ya Nchimbi na wengine wababaishaji
  Bravo Dr. Pombe baelezee
   
 11. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Na aombe radhi kwa lipi? watz tulivyo wa ajabu, tumeacha matatizo yote ya maana tunahangaika na mtu kuomba radhi!
  Mgao wa umeme, kupanda kwa sukari, mafuta.
  Shame on us, tutajifunza lini?
  Very simple minded.
   
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kumbuka mzee wa vijisenti aliomba radhi watanzania!!!
   
 13. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usiwaombe radhi hata kidogo na kma vipi wiki ijayo pandisha tena nauli
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  aombe radhi ya nini na bado inabidi maisha yapande maraduuuuufu zaidi ya hapo ndipo ikili zitarudi
   
 15. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Shida mafisadi wanauwezo mkubwa wa ushawishi na watu wenye upeo kama wako ni wachache sana.
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Huko kwingne sina haja ya kuchangia,ila nakuuliza wenye magari wapo wangapi?
   
 17. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ishu sio nauli bali ni kauli zake chafu alizozitoa.
  Nimemshusha sana Magufuli, kumbe ni wale wale tuu!!
   
 18. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Ninaamini kabisa Dr Magufuli alipokuwa akitangaza nauli mpya alitoa matamshi hayo kama humour. Sasa wabaya wake wameona ni fimbo ya kumpigia. Akiomba radhi atakuwa ameweka precedence mbaya sana kwa watendaji wachapa kazi Tanzania. Cha muhimu ni kukaa kimya tu na kupuuzia hii maneno. Watanzania tunatakiwa kujua kuwa huduma nzuri ni lazima zilipiwe.
   
 19. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #19
  Jan 7, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Dk magufuri ndio umekosea kama Mwanasiasa lakini umewajibika kama mtendaji.Sioni sababu ya yeye Dk Magufuri kuomba radhi japo tulio wengi tunaona kama kafanya makosa kwa kuwa baadhi ya watu wanamuona kama ni mmoja wa watu ambao wanaweza kupewa nafasi ya kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM.Hivyo kwa mujibu wa mazoea ambayo yamegeuka tabia kuwa Watendaji wamekuwa wakichanganya siasa na utendaji wao hivyo kuibua huruma kwa jamii bila kuzingatia sheria za kazi husika na hivyo kuwa na aibu na woga wa kunyimwa kura na wananchi wa eneo husika.

  Kwa dalili hizi kweli Magufuli Urais utakufuata wenyewe na si wewe kuukimbiliia.Manake umeonyesha kuwa haupo kwa ajili ya kumendea Urais,manake kama ungekuwa uko kwa ajili ya kumendea Urais ungekuwa mwepesi wa kuzungumza maneno matamu ya kuwarubuni Wananchi kwa kuwapa stori za alinacha.

  Ndio umetumia maneno makali lakini nawe ni Mwanadamu una jinsi au namna nyingine ya kuelezea hisia zako na hivyo sisi wengine kujua kuwa hapa ulipofika kutamka hayo basi hata sisi Wananchi pia tumekuwa kelo kama sisi wenyewe.

  Kuna hoja toka Kigamboni kuwa ongezeko la bei si la msingi kwa kuwa mapato ya pesa hizo yamekuwa yakitumika na kuhujumiwa na baadhi ya Watendaji wa kivuko hicho,yes ilo laweza kuwa kweli,Je umma wa Watanzania wa kigamboni ulichukua hatua gani juu ya swala hilo la ubadhilifu na matumizi mabaya ya mali ya umma.

  Kwa tamko hilo la wanakigamboni kuwa wanawaona waalibifu na bado wanawafumbia macho na hakika DK Magufuli huko sahihi kwa kuwa wakati mwingine ule msemo wa "What Goes Around Comes Around" unatustahiki Watanzania.Yani Wananchi wao kwa kuona ubadhilifu wa kivuko hicho na kufumbia macho kama hayawahusu basi madhara yake ndio hayo."

  Hii ni kanuni sio mazingaombwe kwa kuwa yaliyojili kwa wananchi ni matokeo ya kuvundika uozo, na vitendo vya hujuma,na tabia ya umma ya kuwaona wabadhilifu kama hawawahusu kumbe maovu yao ni gharama za Wananchi hao hao wanaowaangalia chini ya slogan nzuri inayopendwa bongo, ya chukua chako mapema.Kwa kuwa huko kigamboni kuna watu wa aina mbalimbali kutoka kwenye kada tofauti tofauti kama Polisi, Jeshi, Wanausalama, Wafanyakazi wa PCB na Watendaji wengine wengi wangeliweza kukomesha kama si kumaliza kabisa mchezo mchafu wa kuhujumu kivuko hivyo kuwaletea aueni Umma ambao ndiyo imepelekea ongezeko la nauli ya kivuko hicho.

  Tufike sehemu hata sisi wananchi nao tujiulize mambo haya mpaka lini?Tabia zetu hizi za KItanzania mpaka lini?Michezo hii ya kila Mbuzi atakula kwa ulefu wa kamba yake haya mpaka lini?.Hivi vitendo vya rushwa, ubadhilifu ni mpaka lini itakuwa kikomo cha matendo hayo.Baadhi ya Wananchi wamemshushia lawama Magufuri wakiwemo baadhi ya wabunge wa Jiji la Dar es DSalaam hakika HAIKUWA SAWA KWAO kwa kuwa swala la Ulinzi na Usalama wa kivuko hicho si swala la Magufuli pekee yake bali ni swala pia la Wadau wote yani watumiaji wa kivuko hicho ambao ni sisi Wananchi na haswa ambao ni wakazi wa Kigambonino ambao ndio wenye uchungu na utamu wa kivuko hicho kuliko huyo DK Magaufuri anaeshi Kinondoni.

  Ila nimefurahi kuona kumbe nyuma ya pazia wabunge wa Dar es Salaam haswa wale el maalufu kama watoto wa mujini Dar wemeibuka na mpya ya kukumbushia swala la nyumba za Oysterbay.Hakika nimeipenda hii kumbe kweli DK Magufuri ni tishio kwa baadhi ya wale wanaoukimbilia Urais wa 2015.Manake yaliyotamkwa jana na wabunge wa CCM kupitia Radio Clouds yameibua aina mpya ya kuangalia malumbano haya ya wabunge hawa ni kwa faida ya nani.

  Dk Mafuguli hakika kama ningekuwa mimi ni wewe ningekaa kimya kwa kuwa moja ya hatihati ya swala hilo Watanzania wote wanajua tamu na mbichi ya nyumba hizo ambazo maelezo yake yalishatolewa taarifa zake kwa wingi kuwa yalikuwa ni maamuzi ya baraka za baraza la mawaziri na si uamuzi wa DK Magufuli kama Magufuli.Kwa kuwa kuna dude linaitwa system na lenyewe ndio lilifaidika na mpango huo wa nyumba za Oyestabay basi wabunge hao wa chama tawala wajipange kuendelea na kazi zingine swala la ubunge wao huko mashakani.

  Hivi Wabunge hawa walikuwa wapi swala la Nyumba za Oyestabay jamani?
   
 20. Kiziza

  Kiziza JF-Expert Member

  #20
  Jan 7, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani Phd ya Nchimbi ikoje?Hivi kwa nini hamjifunzi kuaprreciate vitu vya wenzenuk?Hiyo ni Roho mbaya na inaelekea huna Amani na maisha yako.
   
Loading...