JK Nyerere angejua kama yatatokea haya...angelim....hata mmoja tu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK Nyerere angejua kama yatatokea haya...angelim....hata mmoja tu!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by bampami, Jan 7, 2012.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Ni mwaka wa 13/14 toka Baba yetu wa taifa hili atutoke.
  Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu VIONGOZI(MARAISI) WENGI KUWARITHISHA AMA KUACHA DAMU YA UANASIASA WATOTO WAO.
  Ninamifano mingi ambayo inaonyesha raisi fulani baada ya kumaliza mda wake wa uongozi lazima aache ndugu mmoja ktk familia yake ambaye atakuwa naye kwenye siasa na wengi wao huwaacha watoto wao,
  MFANO:
  BUSH na mtoto wake G.W.BUSH.
  Kenyatta -Uhuru kenyatta
  Jkikwete -Liz one kikwete
  Kabila - Kabila
  n.k n.k n.k
  na hawa na wengine uwajuwao wote baadhi yao wamekua na nguvu sana kisiasa.
  LAKINI kwa baba yetu Jk nyerere hajaacha elements zenye nguvu ya siasa ya Tz katika familia yake, najua yupo madaraka nyerere Lakini hana nguvu sana kisiasa.
  Kutokana na siasa yetu kuyumbayumba labda ya JK ANGEJUA KAMA YATATOKEA HAYA ANGEMRITHISHA HATA MTOTO WAKE MMOJA AMA WAWILI YAMKINI WANGELIOKOA JAHAZI LA SIASA TANZANIA.
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Mkuu, naona umekurupuka... Makongoro Nyerere. ni mtoto wa nani? Kajipange upya
   
 3. Kibona

  Kibona JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 1,021
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kwani makongoro alirithishwa siasa na nyerere? Sidhani kama hili nalo unatakiwa kuambiwa kuwa ni ccm wanamvutavuta ili waendelee kujificha kwenye kivuli cha nyerere.
   
 4. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  sawa mkuu lakini umenielewa nilichokuwa namaanisha.
   
 5. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Absolutely Mkuu.
   
 6. M

  Ma Tuma Senior Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mwinyi na hussein mwinyi
   
 7. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  Makamba na makamba junior.
   
 8. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #8
  Jan 7, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mkapa ana mtoto mwanasiasa? Kwanza tangu aingie madarakani umeshawahi kumsikia mtoto wake? Ni hulka tu ya viongozi kama ya kujilimbikizia mali.
   
 9. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #9
  Jan 7, 2012
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 701
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wacheni kuabudu wafu, sasa Nyerere amekifanya kipi cha maana? Nadhani nchi hii inayumba kutokana na maamuzi mabovu yaliofanywa na uongozi wa Nyerere.Huo uhuru alipewa tuu, wazungu walishajichokea nafsi zao.

  Kwa kweli ukiniuliza mie, naweza sema hadi leo tumerisishwa madudu magumu kama ya muungano.Ambapo ufumbuzi wake ni mgumu na completely unnecessary in terms of priority in leadership.

  Watanzania (visiwani na bara) wengi wao ni masikini wa kutupwa, sidhani kama serekali mbili hizi zilitakiwa kupoteza muda kujadili au hata kufikiria complex and optional issues kama za muungano.

  Wasalaam,
  mrfroasty
   
 10. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,851
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Gaddafi na watoto wake wawili,
  Rais wa Korea aliye fariki na mtoto wake aloshika madaraka sasa.
  (Nb. Majina yao nimeyasahaup)
   
 11. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 1,522
  Trophy Points: 280
  .........hana mtoto huyu, sasa angemrithisha nani??????
   
 12. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Well nadhani Nyerere alifanya kitu kizuri tu.Kwani Tanzania nchi ya kifalme mpaka turithishane madaraka?Kila mtu a fight kivyake,hakuna kubebana
   
Loading...