Nape Kapotelea Wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Kapotelea Wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kinyungu, Jan 6, 2012.

 1. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280
  Tangu ile halmashauri ya CCM ikae Dodoma mwaka jana sijamsikia tena huyu msemaji wa chama tawala? Je wamemziba mdomo asiseme chochote au keshawekwa kwenye payroll ya Lowasa?


  Matukio mengi ya kisiasa yanatokea nchini sijamsikia nape akitoa maoni yake kama ilivyo desturi yake!

  Nape uko wapi?????????
   
 2. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  anasomea udaktari wa siasa baada ya ile master ya kuchakachua aliyopata juzi
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Sio lazima uanzishe thread, wewe ni mtu mzima jifunze kuwa na busara, kama huna topic ya maana ni bora usome na kuchangia za wenzako.
   
 4. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Hiyo umeona siyo topic?au ndo uko kwny payrol ya Nape.
   
 5. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  mbona wang'aka mkuu au wewe ni msemaji mkuu wa nape nin?? Hapa jamvin jibu swali basi la mleta nyuzi ili nape asiendelee kuchokolewa.

  Mumewe nin??
   
 6. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Jaribu kumcheki kule facebook mkuu... Hapa anapaogopa siku hizi moto wake ni mkali sana.
   
 7. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Mnafiki mkubwa yule, atakuwa uko face book akila matapishi yake
   
 8. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 489
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Lowasa alishazima mbwembwe za nape baada ya kuieleza nec kuwa lowasa alitaka kuvunja mkataba wa tata wa richmond akazuiwa na mzee wa kaya. Sasa unategemea nape ataegemea wapi hapo! Na el alishaomba muoongozo wa namna ya kuwashughulikia kina nape na wenzake waliotumia raslimalli na pesa za chama kuwachafua wenzao. Ki ukweli nape hana agenda tena!
   
 9. MD24

  MD24 JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  wewe 'gamba' kwani hii thread ina tatizo gani? Acha kukurupuka. By the way inawezekana ukawa PS wa nepi, bt take care isijekua anaku... Ndo mana unakua na uchungu akitajwa!
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,490
  Trophy Points: 280
  walimshika pabaya imebidi atulie.
   
 11. MD24

  MD24 JF-Expert Member

  #11
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 747
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Dogo alikulupuka, lkn humu JF walimuonya, bt akaendelea na uvuvuzela wake. Leo kiko wapi? Mwisho wa siku kule Dom akaambiwa amuombe msamaha mamvi! Lkn namuona siku hizi ameamia kwenye taarabu, section ya kupiga gitaa!
   
 12. H

  Honey K JF-Expert Member

  #12
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kwakuwa wakati nachakachua ULINISAIDIA KUCHAKACHUA........
   
 13. H

  Honey K JF-Expert Member

  #13
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Unafiki wangu ni upi? au unatukana kwasababu unatumia jina bandia? Kama kwako ufisadi ni deal, huna sababu ya kumtukana anayeona si deal bali ni dhambi hata kwa Mungu
   
 14. H

  Honey K JF-Expert Member

  #14
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haya unayoyasema unahakika nayo? Au ndo wale waliosema Sumaye kamshambulia Nape na kupinga kujivua gamba kwa faida ya kuwatetea mabwana zao na sasa juzi baada ya Sumaye kuongea positive juu ya kujivua gamba ITV dk45 wanaona haya kusema yale maneno wLiyatoa wapi waliyomlisha Sumaye???? Ona aibu kutunga uongo
   
 15. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #15
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Majibu yako yanadhihirisha ulichakachua ile masters.
   
 16. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #16
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280

  Mkuu naona siku hizi upo kimya sana hatujasikia maoni yako juu ya siasa zetu za kufukuzana
   
 17. H

  Honey K JF-Expert Member

  #17
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haya prove kwamba napaogopa hapa.......
   
 18. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #18
  Jan 6, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  nape,hebu taja makosa yooooote ulio ikosea Tanzania mpaka wananchi wakajua kwa mwaka 2011...
   
 19. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #19
  Jan 6, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Subiri uone majibu.....kuna watu watakwambia kaonekana kwa mtogole anachoma chapati.....hahaha hahaha!
   
 20. H

  Honey K JF-Expert Member

  #20
  Jan 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tukio gani la kisiasa kubwa kama unavyosema ambalo sijatoa maoni/ ushauri/ msimamo wa Chama? Kwa uchache nikukumbushe tu, LILITOKA SWALA LA POSHO NIKATOA MSIMAMO WA CHAMA, SWALA LA KUFUKUZWA KAFULILA, MAFURIKO DAR NA MIKOANI, MAFUTA NK... Au mpaka nije kutoa hapa Jf? Na leo nimetoa juu ya Hamadi na kumpongeza John Mnyika kwa uteuzi wake kuwa Katibu Mwenezi wa Chadema..

   
Loading...