CHADEMA Arusha, kufanya mikutano ya hadhara kuanzia kesho hadi Alhamisi

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Kuanzia kesho Jumapili tarehe 8.1.2012 hadi 12.1.2012,tutafanya mikutano ya hadhara kwenye kata tano,mikutano hiyo inalenga kujiimarisha zaidi,na kuzungumza na wananchi,kuhus dira ya chama 2012,pamoja na kusikiliza kero mbalimbali za wananchi.Wazungumzaji,ni Viongozi wa chama wilaya,Mbunge Lema,pamoja na madiwani,ratiba ni hivi
Tarehe 8.1.2012 kata ya Elerai
Tarehe 9.1.2012 _Kimandolu
Tarehe 10.1.2012 _Kaloleni
Tarehe 11.1.2012 Themi
Tarehe 12.1.2012 Daraja mbili
Nawasilisha
 
Tuko pamoja hivi ndivyo tunavyotaka chama cha siasa makini kinatakiwa kiwe active wakati wote.
 
Hivi Lema, si mgonjwa anatakiwa apumzike kwanza mikutano ipo tu, akizidiwa halafu mseme kuna mkono wa mtu.
 
Arusha kunani??
  • CCM madiwani 14 - 2 = 12
  • Chadema madiwani 13 - 5 = 8
  • TLP diwani 1

I'm out of content I know
 
Good move, kitaeleweka tu mwaka huu manake hawa jamaa wenye magamba walizoea baada ya uchaguzi wanarelax hadi uchaguzi mwingine lakini this time mmewabana kila kona wanashindwa kupumua
 
Mbona sioni kama mtafanya kufanya mkutano Njiro? au?

tumeanza na kata ambazo uchaguzi utafanyika,baada ya hapo tutakuja na ratiba ingine,lengo letu ni kufanya mikutano,na kuzungumza na wananchi wa jimbo zima,tutafanya kata kwa kata na mtaa kwa mtaa
 
tumeanza na kata ambazo uchaguzi utafanyika,baada ya hapo tutakuja na ratiba ingine,lengo letu ni kufanya mikutano,na kuzungumza na wananchi wa jimbo zima,tutafanya kata kwa kata na mtaa kwa mtaa

Hiyo ni move nzuri, inapaswa kuigwa na mikoa yote
 
makamanda tuko vitani, hakuna kusinzia mpaka tuikomboe nchi yetu kutoka mikononi mwa hawa manyang'au.
Magamba wamezoea uchaguzi ukiisha tu, wana-relax! Ss cku zao zinahesabika...,
 
CDM, Tumepanga, Tunatekeleza na Tutatimiza yote! CCM na laana zao CDM na Baraka zetu! Vivaa CDM. 2gether 2tatoboa tuu!
 
Hakika CDM tunafanya kazi. Hiyo mikutano ni ya msingi sana ili kujiweka sawa kisiasa wakati wote. Big up CDM A town. Keep it up..........!!!!!!!!!!!1111
 
Wap abt sehemu nyingine za arusha??

mikutano itafanyika kote,ila kwa hatua ya sasa,tunaanza na hizo kata tano,kisha tutaendelea na sehemu nyingine,narudia tena,tutafanya kata kwa kata,na mtaa kwa mtaa
 
Back
Top Bottom