Anazungumzia nini? Wengine hatuna axces
anaongelea ajira kwa vijana,na swala zima la uelekeo wa uchumi wa nchi ye2 na maisha ya watz kwa ujumla!
Samahani ndugu,kulitokea nini jimboni kwake?Anasema anampango wa kuwaunganisha wabunge vijana ili waweze kupanga mkakati wa kuongeza ajira kwa vijana wa Tanzania. Anataka kupeleka hoja binafsi bungeni kuhusu ajira kwa vijana. Nafikiri amefikia huko kutokana na kile kilichomtokea jimboni kwake.
Anasema anampango wa kuwaunganisha wabunge vijana ili waweze kupanga mkakati wa kuongeza ajira kwa vijana wa Tanzania. Anataka kupeleka hoja binafsi bungeni kuhusu ajira kwa vijana. Nafikiri amefikia huko kutokana na kile kilichomtokea jimboni kwake.
Vijana karibu 400 (approximately) walimfuata na kumuomba awatafutie ajira. Nafikiri hicho ndicho ambacho kimemfanya atafute hoja binafsi ili aweze kuangalia namna ya kuokoa jahazi.
Anasema yy mwenyewe anapata shida juu ya national ID,Coz nchi imekosa misimamamo juu ya mambo mbalimbali tofauti na zamani.
Hapo kwenye national ID ni kweli ule ni mradi wa wakubwa, ukija kumalizika watu weshakuwa mabilionea
Jamaa ni Jembe la chuma cha reli! Anaongea kwa data za uhakika, Zitto for presidency 2015
bahati mbaya sisikilizagi hiyo redio!
Jamaa ni Jembe la chuma cha reli! Anaongea kwa data za uhakika, Zitto for presidency 2015