Hali ya ma bodyguards wa viongozi wetu ni mbaya sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya ma bodyguards wa viongozi wetu ni mbaya sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sam Seaborn, Jan 29, 2012.

 1. S

  Sam Seaborn Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na kama JF si mahapa pa kuwasilisha malalamiko yao sijui yapelekwe wapi

  na kama Jukwaa la siasa la JF ambalo ni maarufu kuliko yote na ambalo wanasiasa wanakuja kusoma zaidi si mahala pake then sidhani kuna umuhimu wa kupeleka mahala

  Hivi inawezekana vipi ma bodyguards wa viongozi na hususan kama makamo wa rais wakapandishwa nyuma kwenye landrover pick up bovu na waziri wa Ulinzi, mambo ya ndani wasiwajibike?

  Ina maana serikali ilikuwa haina pesa ya kuwapa gari ya maana badala ya kuwapandisha hawa FFU waliokufa Tanga kama wafungwa na kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine?

  Is this really fair wengine wapandishwe kwenye ma VX na air condition na ma bullet proof na wengine wafanywe kama wale FFU?

  tazama hizi picha kisha utapata jibu lako

  MICHUZI: Mh. Gallawa aongoza ibada ya kuaga miili ya askari wawili waliokufa ajalini

  WALE NI WATANZANIA NA WAZALENDO NA KUPOTEZA MAISHA VILE WAS NOT FAIR & HEADS SHOULD ROLL

  Tunataka kuona ripoti
   
 2. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mungu awarehemu marehemu!
  Hichi ndicho kinachotokea na kitakachoendelea kutokea kwenye jamii ambayo imetafsiri siasa kama ni mchezo mchafu, unafiki, ubabaishaji na mizaha!
  Hamna thamani ya uhai wala utu.
  Tusahau kuhusu utaalamu na weledi katika kada zote.
   
 3. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Umeambiwa na nani kuwa hao FFU ni bodyguards?
   
Loading...