Hamad rashidi kutangaza chama kipya leo wawi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamad rashidi kutangaza chama kipya leo wawi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kalunguine, Jan 29, 2012.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wanajamvi,aliyekuwa kaimu mwenyekiti wa wilaya ya ilemela wa CUF Hapa Mwanza,ambaye yuko kambi moja na HR na ambae mwishoni alhamisi ya wiki iliyopita amaetangaza kujiondoa CUF na wanachama zaidi ya 1222,amenidokeza muda sio mrefu kuwa wako pemba na wamepata mapokezi makubwa na kuwa katika mkutano wao na wananchi wa jimbo la wawi wanakusudia kutangaza rasmi chama chao kipya cha ADP ( hajaniambia kirefu chake,nikipata mawasiliano nae nitawafahamisheni)
   
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hii ni tetesi...au?
   
 3. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo Hamad ameamua kuachia ule ubunge wa mahakamani
   
 4. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  all the best waje tu kuonyesha demcrasia ya ukweli labda kitakuwa chama cha upinzani cha ukweli
   
 5. t

  thatha JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  hamad anahangaika, hajui wenzao wabara hamtaki? hakuona magazeti yalivyomchafua baada ya kuisema cdm vibaya?
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kwa mujibu wa shabani itutu aliekuwa kaimu mwenyekiti wa ilemela si tetesi,ni ukweli wanatangaza chama leo hii
   
 7. mpemba mbishi

  mpemba mbishi JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 1,132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwani si anasema yeye bado ni mbunge halali wa Wawi kwa ticketi ya CUF! Ama kweli huyu 'mshkaji' amesharogwa!
   
 8. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  haya kipya chama au chama kipya.,
  Hapo kuna jina jipya tu wengne wale wale.
   
 9. a

  ali mtsashiwa New Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HONGERA HAMAD RASHID kwa ujasiri wako wa kutumia uhuru wako wa kujitamka,na kuchaguwa.
  Uliyoyataja katika "Yaliyojiri " yameamsha wengi.
  HAPANA UTUME WALA UMILIKI WA CHAMA NA SIASA ZA ZANZIBAR.WEWE MZANZIBARI-MTANZANIA UNA UHURU
  WA KUJICHAGULIA .
  Fuguwa chama na hilo litakuwa ni pigo kubwa la ile porojo za kutaka kukutia dosari kuwa unatumiliwa
  na CCM au CHADEMA .
  Wapo wengi watakao kuunga mkono .
   
 10. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ngoja msambaratike, ccm ipate nafasi ya kuwatawala milele kiulaiiiini.
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu nae anatangatanbga utadhani muuza karanga ....kwani lazima uwe mwanasiasa bana...aghhhh
   
 12. k

  kiche JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mwambie asimsahau kafulira kwenye utukufu wake,ubunge wa mahakama ni kashfa kwa mtu mwenye akili timamu!!
   
 13. Thomas Odera

  Thomas Odera Verified User

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 644
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hamad kumbe alikuwa na mpango wa kuanzisha chama ila lengo lake ni kutaka kuwa mwenyekiti au katibu mkuu. Akikosa hizo nafasi hicho chama kinakufa
   
Loading...