Mbunge wetu wa Mvomero (Amos Makalla) vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wetu wa Mvomero (Amos Makalla) vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mvomero, Jan 23, 2012.

 1. m

  mvomero Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kifupi toka amekuwa mbunge huyu jamaa(Amos Makalla)hakuna kinachoendelea katika jimbo hili project ya barabara ya lami magole-Turiani inasusua,yaani kwa kifupi wananchi tunamkumbuka sana mwarabu Sadiq Murad.Tunaomba ajitambue, ajitathimini na kisha achukue maamuzi mepesi ya kujiuzuru.
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nenda pale sinza kwa remy kuna night club mpya habanduki pale na mishavu iliyovimbiwa
   
 3. m

  mvomero Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo ndilo tatizo la wabunge wa CCM waho ni kula good time all five years
   
 4. akajasembamba

  akajasembamba Senior Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 161
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mbunge anapewa bajeti ya kutengeneza barabara tangu lini, lawama kwa waziri wa ujenzi na Mkurugenzi wenu! Tofautisha majukumu na uwezo wa mbunge na waziri na mkurugenzi
   
 5. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0


  Hivi nyie watu wa Mvomero mnamatatizo gani? Hakuna mzawa yoyote anayeweza kuwaletea maendeleo hadi awe Mwarabu? Hembu fungukeni bana mnatia aibu na akili zenu za kitumwa.
   
Loading...