Ngeleja kala dili la Mita za Umeme Makao Makuu ya Tanesco? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ngeleja kala dili la Mita za Umeme Makao Makuu ya Tanesco?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tenende, Jan 29, 2012.

 1. t

  tenende JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 6,560
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Taarifa nilizozipata makao makuu ya TANESCO - UBUNGO mita hazipo. Zilizopo ni second hand zilizonunuliwa Korea na Mzabuni aliyepewa dili na Ngeleja. Aliyeshinda tenda hakupewa, akapewa ambaye hata kwenye mchakato hakuwemo. Aliyepewa TENDA na ngeleja alilipwa 80% ya malipo yote na matokeo yake kaleta vitu used tena visivyo faa. Nenda TANESCO upate undani wa sakata hili!..
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Ngoja jembe langu Zitto aikamate hii apekeleshwe kwanza
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Waziri kivuli Mnyika na mbunge wa Ubungo fuatilia hii kitu.
   
 4. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  80% ni uongo huo labda ingekuwa 20 - 30% vitu vingine inakuwa ngumu kuaminika.
   
 5. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Source Please!!!
   
 6. HT

  HT JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  yeah ni ngumu ndugu yangu kama sms ya 2008 ya mwakyembe na sumu... Nchi hii inahitaji maomvi kwelikweli!
   
 7. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,363
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  hii inawezekana maana nimeomba kuvutiwa umeme toka mwaka jana mwezi wa kumi.... nimeshalipa hela yao yote bt mpaka ss wanasema mita za luku hazipo zimeagizwa...........hivi ili uheshimike nchi hii lazima uibe?
   
 8. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Kwani TANESCO iko chini ya wizara gani au iko mambo ya ndani. Ngereja yuko responsible 100% kwa kila kitu kinachofanyika TANESCO. Na hiyo mipango yake ya liganga na mchuchuma ni ya nini au ni ya kuzalisha upepo?
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Sasa mnataka wakale wapi? Walipoapishwa naambiwa mawaziri walipewa wosia na mkulu kuwa huu ndio wakati wao wa kula.
  Hivi hamshangai kwa nini mkulu kakaa kimya?
   
 10. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Source Please! Hata hivyo jina la mheshimiwa huyu linanifanya nipate kifafa kwenye ubongo wangu:eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows::eyebrows:.
   
 11. E Original

  E Original Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jina ilo nikilisikia natamani nikajifiche kwanza.
   
 12. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kwani wakati wa Richmond TANESCO haikuwa kampuni yenye utawala wake?
   
 13. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hata mimi tangu June mwaka jana nimeomba kubadilishiwa mita yangu nipewe LUKU jamaa wameniambia maombi yaliyopo yanazidi idadi ya mita zilizoagizwa!
   
 14. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Ngeleja fighter, kuna mtoto wa dadaake alimaliza chuo, kabla hata ya matokeo akaajiriwa STAMICO....hata Buzwagi anazo tenda zake kadhaa huyu Ngeleja, so anaandaa mafao na kuwapa maisha bora wanafamilia...
   
 15. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Aangalie hata Mubarak alikuwa anaandaa maisha ya wanawe... Alipoishia wote tunajua
   
 16. +255

  +255 JF-Expert Member

  #16
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Kasema nenda Tanesco...
   
 17. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #17
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Poyoyoyo kweli wewe. tanesco iko chini ya nani?
   
 18. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  barrick ana tenda ya vyuma chakavu.
   
 19. S

  Sting007 JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kama ni kweli, Mr Ngeleja. jaribu kuwa kiongozi bora kuliko kufanya maovu, kwani Wizara yako imeonekana na Maovu mengi, kiasi cha kila mtu kufuatilia kwa karibu kila kinachojiri. Naomba ufanye kazi zenyekuifurahisha jamii kwa kipindi kilichobaki kwa sasa Mkuu.
   
 20. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Siamini kama huyu FF ni mwanamke mwenye familia maana muda wote yuko jamvini kubishia watu! Mama nenda kawapikia biliani mmeo na watoto wako achana na kazi ya kutetea magamba hutashinda vita hii ni ngumu.
   
Loading...