Mgomo wa madaktari .serikali inachukuli mzaa wakati watu wanakufa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madaktari .serikali inachukuli mzaa wakati watu wanakufa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by king86c, Feb 7, 2012.

 1. k

  king86c Senior Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  madaktari wote waliogoma sisi kama wananchi tunawaunga mkono asilimia miamoja kwa ajili madai yao yote ni ya msingi ila serikali inaona kuwa hawana mcna kwa sasa kwa ajili ata wao wakiumwa wanatibiwa india wakati hiyo pesa zote wanazopeleka india wangetumia kuboresha huduma hospitali za nyumban4 rair inabidi atoe tamko kukaa kimya akujengi taifa
   
Loading...