Pima maamuzi ya JK hapa......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pima maamuzi ya JK hapa.........

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by spencer, Jan 20, 2012.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  GreatThinkers,

  Wakazi wa mabondeni inafahamika wazi kuwa ni wavamizi wa yale mabonde licha ya kuwa baadhi walipewa hadi hati ya umiliki kwa njia isiyo rasmi.

  Jk ametenga eneo la Mabwepande ili hawa ndg wahamishiwe.....FINE!

  Kilichonishangaza ni kuwa JK huyuhuyu ameamuru wananchi waliovamia Mabwepande wavunjiwe nyumba zao ili kupisha upimaji na ugawaji viwanja vipya vya hawa wa mabondeni. Unasolve tatizo,unazalisha lingine pale pale!!!!!

  Swali langu, Kama ndiyo ungekuwa wewe mtoa maamuzi ungeamua vipi?

  Unasemaje juu Kiongozi kama huyu ambaye anawashauri lukuki na wanalipwa kwa kodi yako?

  Je, kama huyu ndiye TOP thinker wa Taifa, unafikiri tutafika?

  kuna watu wanasema kuna Ombwe(Vacuum) la uongozi-wewe unasemaje?
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  wewe ni mzushi unaleta habari nusu nusu ili upotoshe.

  ukweli ni kwamba, J K ametoa viwanja kwa waathirika wa mafuriko huko mabwepande na kwamba eneo la wakazi wa zamani litapimwa upya, nao watanufaika na mpango huo ili kuondoa squater katika eneo hilo.
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hili suala la mabwepande na waathirika wa mafuriko kila mtu anafuatilia na anajua ukweli halisi.wewe ukija na ujinga wako hapa eti watu wamenyang'anywa maeneo yao utaaibika,hakuna kiongozi anaeweza kufanya kotu kama hicho labda wewe kilaza.
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kwani hao waliovunjiwa ili kuwapisha waliotoka mabondeni ni wangapi? Na je wao hawakujua kuwa hawakupaswa kujenga katika eneo hilo?
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  dhulma aliyowafanyia wanyonge itamtafuna JK milele
   
 6. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kumbuka kuna watu tayari yale ni makazi yao ya mda mrefu.

  Mimi kinachonishangaza, inawezekana CCM ndio waliojenga nyumba mabondeni na kuwapangisa walalahoi kwa kuwa wanajua hawana mahali pa kwenda. Ninasema haya kwa sababu, mtu ni mvamizi, alivamia eneo akajenga wewe umetulia, hujawahi kuonesha jitihada za kumhamisha hata siku moja, lakini maji ymemfukuza, unaamua kumpa kiwanja huyu aliyevamia wakati asilimia kubwa haishi maeneo yale.

  Halafu huyu aliyekuwa mpangaji unasema wewe hutambuliki. unaamua kumpa kiwanja mvamizi, unamnyima mwathirika wa uvamizi. Hii haitoshi kusema kuwa hawa jamaa wa CCM ndo walikuw wamiliki wa nyumba zile?
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ulimchaguaje mwaka 2005 kwa kula milioni tisa ambayo na ya kwako naamini ilikuwepo.
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mi ningekuwa kwenye mamlaka, ningewakamata wale waliaothirika na mafuriko na kuwapeleka mahakamani kwa sababu walikuwa wamejenga sehemu ambayo haikuruhusiwa. kama wana vibali vya ujenzi, ningewakamata na hao waliwapa vibali na kuwaunganisha kwenye kesi hiyo
   
 9. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  Hivi bado kuna watu mnapataga muda wa kumjadili Jk?
   
 10. t

  tyadcodar Senior Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mimi langu si maamuzi ya mabwepande kwani maamuzi yatokanayo na washauri wake wanaomuogopa sana yametupeleka hapa tulipo ambapo fumuko wa bei ni zaidi 30% lakini wataja kidogo haya hiyo ni maada nyingine,lakini swala la ombwe naomba niseme hivi: AT AN IDEAL STATE VACUUM EXISTS BUT UNDER NORMAL CIRCUMSTANCES U CAN'T GET A VACUUM BECAUSE 'NATURE ABHORES/HATES VACUUM THAT IS TO SAY WHWEREVER VACUUM OCCURS IT IS REPLACED IMMEDIATELY.KWA SABABU HII NASEMA HAKUNA OMBWE LA UONGOZI TANZANIA KWA SABABU LILIPOTOKEA TU HILO OMBWE KWA OUNGOZI WA CCM,'REMEMBER NATUIRE ABHORES VACUUM'IT WAS AUTOMATICALLY REOPLACED BY CHEDAMA LEADERSHIP,SIMPLE!!!!!!CHAMA TAWALA NI CCM LAKINI MIONGOZO YOTE MIZURI NI YA CHADEMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kikwete ni rais muungwana sana.anacheka na kunywa juice pamoja na wabaya wake?
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Jiulize swali wewe, mwanao/baba yako/ndugu yeyote akiwa mwizi/tabia zisizo za kistaarabu akipatwa na matatizo utamsaidia au utamuacha?. Hebu jamani tuwe tunatafakari kabla hatujanena, au ulitaka rais awapotezee ili upate cha kusema zaidi ya hilo unalojaribu kutuambia kama vile unatuchota akili.
   
 13. M

  Mchomamoto Senior Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 169
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  aaaahhh kweli mkuu mtu anaepata muda wa kumjadili JK naona kama hana kazi ya kufanya,yawezekana hili halina ukweli halisi lakini JK ni wa hovyo tuu!!mengi ya ajabu tunayaona uongozi sifuri pale,mandela au Msoga ni sehemu za kutoa watu wenye uwezo wa kufikiri?mmmmh wapiiiiiiiiiii!!!!!
   
 14. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #14
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Wewe usitudanganye.....mbona mengine unakaa kimya....wewe utakuwa unakameruniwa na huyo unayemtetea. akitajwa sehemu kidogo masaburi yako yanatikisika..........huyo mzee ni mzembe. Yeye ni mchemkaji......anachokupa wewe najua hata masiko huna tena........hata akosee vipi.....lazima utamtetea.......nashangaaa unapomsifia kucheka mwanaume na kunywa juice nchi umaskini kibao. KIKWETE : Dowans siwajui, LOWASSA : nilikupigia simu ukiwa nje ya nchi kuwe tuvunje mkataba na dowans ukakataaa.......ndugu yako JK akatikisa kichwa akikubali kuwa alipigiwa simu..........hadi video tulikuwekea........mpime na kwa hilo.
   
 15. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Kila mtu ameona msilete ubishi usio na adabu, watu waliovamia Mabwepande wamebomolewa nyumba zao kupisha makazi mapya ya waliojenga mabondeni.
  Swali.
  kwanini hao waliovamia Mabwepande tena wakawa wakulima na ndio waliofyeka msitu kule wasingefanyiwa upimaji shirikishi kama ishu ni upangaji wa mji?
  Sehemu ngapi Tanzania hii zimetumia huu utaratibu?
  Nani aliyekunywa mbege hivi kosa lao ni nini hasa hao wananchi?
   
 16. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Salute.:poa
   
 17. M

  Mokerema JF-Expert Member

  #17
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpita Njia!

  Wewe unaishi sayari gani! Statement ya kuwashika walioathrika na mafuriko na kuwapeleka mahakamani ni ya kitoto nadhani wewe ni **** na hutakiwi kuwa unapumua. Nyumba ya Mengi iliathirika na mafuriko! Makazi ya IGP Said Mwema pale upanga yalijaa maji mpaka kwenye madirisha na hiyo ni mfano tu nyumba nyingi upanga sehemu iliyopimwa enzi kabla ya Uhuru yalijaa maji. Sasa nani amkamate IGP.

  Acheni utani na janga la Mafuriko. This happens all over the world and sources could be varied. Ni kweli maamuzi ya CCM are very irrational tangu ikiwa TANU mpaka leo. Ni sababu kubwa ya mashibu. The president is a product of an irrational system! Of that what you expect from him and nothing less. Please just convey your condolences and call it a day. Kile tulichopanda ndicho ndicho tunavuna.

  Huwezi panda Bangi ukavuna nyanya! I have already proposed solutions just read a few previous threads! Kanyaga twende tumia akili ya mbayuwayu pambaf!
   
 18. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #18
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,595
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  Ndiyo tatizo la kupata ushauri toka BAKWATA, tumsamehe bure JK washauri wake ndiyo wanampotosha.
   
 19. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #19
  Jan 20, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mi nasema kuna LIOMBWE lauongozi
   
 20. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  :A S embarassed: Nawaonea huruma nyie mnaompigia mbuzi gitaa
   
Loading...