Waziri Mkuu:Madktari wasiporudi kazini wamejifukuzisha, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Mkuu:Madktari wasiporudi kazini wamejifukuzisha,

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAGEUZI KWELI, Feb 7, 2012.

 1. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Serikali makini na maamuzi makini, Ni msimamizi wa shughuli za serikali na waziri mkuu wa Tanzania, Mtu mkubwa kabisa kabisa, Alisema ma DR wasiporejea job ilikuwa ni siku ya jumatatu tar 16 woote watakuwa wamefutwa utumishi wa umma,
  Mnajua mtayumba sana lakini ni bora kwenda kwa kuyumba kujenga kitu kipya kuliko mfumo huu wa Madaktari kwa sasa.
  Sasa maamuzi ya Serikali yalishapita, Kinachofanyika sasa mmefyaka mkia au kuna nini??
  Je waziri mkuu haoni kuwa alikurupuka kutoa hukumu kabla ya kujua kulikoni?
  SERIKALI MAKINI TANZANIA
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mh Pinda anajihaibisha sana sector ya udactari haichezewi wewe!! Afya kwanza propaganda baadae,pinda rudi kijijin katavi ukaendelee kulima tu
   
 3. only83

  only83 JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Tumejadili sana hili hapa JF...We need new stuffs buddy....
   
 4. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa(serikali) wakati wa kikombe kule Samunge walitoa support mbaya, sijui tume zikaundwa karibu kila wizara ikajihusisha huko, lakini kwenye ishu ya madaktari aaah wanajifanya wameziba masikio...hii ndio serikali yetu inayoongozwa na Zombies
   
 5. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Katishia nyau mtu mzima, alijua ma-interns ni kama nyau tu, alikosa kuunganisha dots, kwamba ma-interns ndio wanaowapa support kubwa magwiji....sasa specialists hawawezi kufanya kazi bila hao madokta ambao nao wanasaidiwa na ma-interns.

  Its chain of commands by the way.
   
 6. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haikupaswa kuanzishiwa thread hii, sasa habari iwapi hapa?
   
 7. Mess

  Mess JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 2, 2009
  Messages: 667
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nikichangia nafukuzwa kabisaa jf
   
 8. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #8
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,227
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Habari hapo ni kwamba Waziri mkuu anapaswa kuiuzulu kwa vile agizo lake la ma dockta kurudi mzigoni halijatekelezwa na vilevile hawajafutwa kazi. Basi ajifute kazi yeye mwenyewe.
   
Loading...