Mgomo wa madktari nani alaumiwe serikali,au madaktari !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa madktari nani alaumiwe serikali,au madaktari !!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JOB SEEKER, Feb 7, 2012.

 1. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @

  kumekuwa na sintofahamu kwa wananchi,viongozi wa dini,juu ya

  nani mwenye kustahili lawama juu ya hali hii je ! Nani

  anayepaswa kulaumiwa serikali au madaktari ?????????????
   
 2. K

  Kwaito Senior Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  serikali!sion muda muafaka kama ungetokea kwa maDr kugoma maanj wagonjwa wapo daily!shda ni uroho wa politicians wetu na dharau kwa wataalam
   
 3. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  chichiemu oyeeeeeee......!
   
Loading...