CHADEMA sasa yaibukia kwenye soka
Na Mwandishi Wetu
Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limeitaka serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na...
JANA gazeti hili lilichapisha habari inayohusu taarifa ya Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma kuwa imeanza mchakato wa kuhakiki mali za viongozi hao nchi nzima, ikianzia na viongozi 60.
Katika...
February 15, 2012
CCM IRINGA KUFUKA MOSHI ,WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WATOFAUTIANA JUU YA KATIBU
Katibu wa CCM mkoa wa Iringa Bi.Mary Tesha
Wakati kesho chama cha mapinduzi (CCM) mkoa...
Nimejaribu kufuatilia haya yanayosemwa sasa kuwa kwa kufanya ujumbe wa NEC CCM kuwa kazi ya kudumu kwa mhula wake, na kwa kuzingatia kuwa katiba hairuhusu mtu kuwa na kazi mbili za kudumu ndani ya...
TAARIFA KWA UMMA
MAONI YA BARAZA LA WAZEE WA CHADEMA JUU YA MAAMUZI YA CCM KUWAONDOA WAZEE KATIKA VIKAO VYA MAAMUZI
BAADA ya Watanzania wengi kutaka maoni ya Baraza la Wazee wa CHADEMA...
Habel Chidawali, Dodoma
MTUHUMIWA wa uporaji wa fedha za Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara amejitokeza na kukiri kuzipokea akisema sehemu ya fedha...
Ndg wana JF, tar11/02/2012 siku ya jumamosi nilifanikiwa kuhudhuria hafla fupi pale Kibo Palace Hotel Arusha, wakati Kijana Machachari wa Chadema Arumeru Mashariki Kamanda na mpambanaji Joshua...
Ndiyo Wakuu, ile kauli ya Tanzania kuwa shamba la bibi imeendelea kuthibitika jana pale kitengo cha maafa ,ofisi ya mtoto wa mkulima ilipo kutwa na matumizi mabovu ya fedha za watanzania...
The bodies of the inmates, shirtless and blackened by soot, lay on the ground in neat rows, belying the chaos from which they emerged.Outside the fence, hundreds of relatives rushed the gates of...
Hivi karibuni kumekuwa na taarifa za uongo na propaganda zinazoenezwa na Hamadi Rashid kwenye vyombo vya habari kwamba zaidi ya wanachama 1000 wa CUF wa mikoa ya Dar es Salaam na maeneo mengine...
Leo nimesoma gazeti la Mwanahalisi na kuona makala moja inayopinga hoza za Dk Ndalichako kuhusu kufutiwa matokeo ya wazanzibar.
makala hiyo inazungumzia jinsi matokeo hayo yalivochahakachuliwa...
Ni Waziri wa viwanda na biashara!
Amesema yeye huingia ofisini kila siku zikiwemo Jumamosi na Jumapili
na kwamba wanaosema afya yake ni mgogoro wanasema hivyo kwa kisa
cha Uwaziri alioteuliwa...
Tanzania President Jakaya Kikwete. FILE | AFRICA REVIEW |
By SYLIVESTER ERNEST in Dar es SalaamPosted Wednesday, February 15 2012
Tanzania President Jakaya Kikwete has received praise for the...
MATOKEO ya uchaguzi mdogo wa uwakilishi wa Jimbo la Uzini, Dunga, Wilaya ya Kati, Unguja, uliofanyika Jumapili ya Februari 12, 2012, yametangazwa na Mohammed Raza mgombea kupitia Chama cha...
Wed, Feb 15th, 2012 Tanzania |
Permanent Secretary in the Ministry for Labour and Employment, Mr Eric Shitindi
Work permits to foreigners working in Tanzania will be issued by one centre...
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika kikao chake cha siku moja chini ya uenyekiti wa Mwenyekiti wa Taifa Dr. Jakaya M. Kikwete, pamoja na mambo mengine imetoa ratiba ya mchakato wa kumpata mgombea...
Nilikuwa nazungumza na mtu mwenye cheo cha juu sana ccm akaniambia mabadiliko ya katiba ya CCM ni moja ya mikakati ya kumwondoa Lowassa katika kinyanganyiro hivyo akina Nape wameshinda round ya...