Kwa mujibu wa katiba ya CCM, Kikwete hastahili kuwa mwenyekiti... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa mujibu wa katiba ya CCM, Kikwete hastahili kuwa mwenyekiti...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tuko, Feb 15, 2012.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Nimejaribu kufuatilia haya yanayosemwa sasa kuwa kwa kufanya ujumbe wa NEC CCM kuwa kazi ya kudumu kwa mhula wake, na kwa kuzingatia kuwa katiba hairuhusu mtu kuwa na kazi mbili za kudumu ndani ya chama, na kwa kuwa ubunge nao ni nafasi ya kudumu kwa mhula husika ya chama, then wabunge hawataweza tena kuwa wajumbe wa NEC, unless waamue kuacha ubunge.

  Lakini kwa upande mwingine, uraisi wa nchi kupitia chama hicho pia ni nafasi ya kudumu kwa mhula wake ya chama (kama ubunge), lakini pia uenyekiti ni kazi ya kudumu kwa mhula wake, hivyo ni kinyume cha katiba mtu kushika nafasi zote hizo mbili kwa wakati mmoja...
   
 2. MANI

  MANI Platinum Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Mkuu mabadiliko hayo yamepitushwa kwa llengo la kuwabana baadhi yao na sio wote.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  hawa ujinga wapo watajifanya mambo mengine ni exception
   
 4. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Inawezekana wamemchomekea JK!!

  Waliokuwa wanavizia hiyo nafasi sasa wana wakati wa kuhoji hicho kipengere.............. Kama wanamzuia Mbunge amabye majukumu yake ni madogo iweje Rais ambaye ana majukumu mengi na magumu aendelee kuwa na kofia mbili??
   
 5. y

  yaya JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, wanajua walifanyalo.
  Zaidi zama zile kulikuwa na msemo usemao "Mambo ya Ngoswe mwachie Ngoswe mwenyewe".
   
 6. n

  nketi JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  magamba nayo!!!!!!!!!! hayana jipya ni kutafutana tu ndo kuliko bakia
   
 7. MANI

  MANI Platinum Member

  #7
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Na yeye kaingia kichwa kichwa !
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu Tuko hiyo sasa ndiyo great thinking. Unaviangalia vitu kwa macho mawili na kuiona tafasiri yake iliuyo nyuma ya maandiko. Kama kweli hawakuweka exception kwa Rais wakaishia kutaja tu wabunge kuwa wazuiwe kwa sababu ya vyeo vyao basi kwa sababu hiyo hiyo tafsiri yake ni kwamba Rais pia hastahili kuwa Mwenyekiti wa Chama na kuingia kwenye NEC. The law of transtivity in economics is applicable in this situation. Big Up Tuko kwa kuling'amua hilo na kuleta changamoto ndani ya JF na bila shaka ndani ya CCM.
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Hiyo pia huenda ikawa. Katika siasa kila kitu kinawezekana.
   
 10. A

  August JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  kwani katiba ya ANC chama kikongwe africa kikoje kwenye suala la Mwenyekiti kuwa ni Raisi au kushikilia vyeo vingine? na wenzetu nchi jirani mambo yanaendaje?
   
 11. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #11
  Feb 16, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Hakuna humu mwenye kuijua vyema katiba ya CCM akatudadavulia?
   
 12. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #12
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  tuko uko vizuri....you have noticed something very technical.....utakuwa mwanasheria wewe!!!
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hoja unayo lakini katiba hiyohiyo inaweza kuweka kifungu cha pekee kumwezesha Rais kushika nafasi zote mbili. Ni suala la uamuzi wa chama kama itaonekana inafaa kufanya hivyo........

  "katiba hairuhusu mtu kuwa na kazi mbili za kudumu ndani ya chama isipokuwa Rais"
   
 14. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Umeshajiuliza hayo mabadiliko yaliyofanyika yanaanza kutumika lini?
  I bet J.K didnt see this coming. Kama waliweza kumchomekea kwenye sheria ya gharama za uchaguzi baada ya kupitishwa na Bunge watashindwa huku kwenye chama?. Kwani washauri wake wa kisheria si walewale? Anyway ya ngoswe muachie ngoswe kweli lakini mimi ninasmell a kind of strategic move. Wanasema if you scratch my back, i'll scratch yours
   
Loading...