DR.CIRIL CHAMI awakoromea wanaosema afya yake ni mgogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DR.CIRIL CHAMI awakoromea wanaosema afya yake ni mgogoro

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwanajamii, Feb 15, 2012.

 1. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni Waziri wa viwanda na biashara!

  Amesema yeye huingia ofisini kila siku zikiwemo Jumamosi na Jumapili

  na kwamba wanaosema afya yake ni mgogoro wanasema hivyo kwa kisa

  cha Uwaziri alioteuliwa na Rais. Amesema kuwa ameenda India kutibiwa

  na amepona, amehoji kuwa hao wanaomsema je, walitaka asipone?

  Source: Taarifa ya habari ITV.

  My take: Jamaa anaonekana yuko fiti.
   
 2. M

  Mbuli Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mi sio dr. lkn huyu Mh sio kama alivokuwa mwaka jana. yaani kwake yeye leo ni afadhali ya jana.
   
 3. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi anaumwa nini,angeweka wazi hilo maana maneno maneo yataendelea tu maana muonekano wake si kama wa awali.Dr.Let your wananchi knows your health,what are suffering? Nipo huku Kibosho wazee wanauliza hili kwenye vikao vya mbege.
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nimemuona ITV amedhoofika sana.
   
 5. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nimemwona afya yake c nzuri.
   
 6. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wanazidi kupeana sumu,
   
 7. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wamemchami
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Achie ngazi ahamie hospitalini
   
 9. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Sasa kuingia ofisini jumamosi na jumapili ndio nini!
   
 10. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #10
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,538
  Likes Received: 12,796
  Trophy Points: 280
  Kama kashatibiwa ok no p! Tunasubiri matokeo bhana ,only time will tell!pole dr wa ukwee
   
 11. Malipesa

  Malipesa JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Is he still sick? What is wrong wit him???
   
 12. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hata wakiwekeana sumu lakini wanachukuwa muda mrefu kufa!
   
 13. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #13
  Feb 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tumuombee
   
 14. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #14
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Ugonjwa wa mtu ni siri ya mtu...na ni hiyari ya mgonjwa mwenyewe kuamua kushare siri yake hiyo na ndugu/marafiki/majirani/jamii au la, kama anaona kutakuwa na faida kuelekea kwenye kuboresha afya yake, hakuna mtu wala sheria yeyote inayomshurutisha kufanya hivyo! Mfano atangaze 'nina kansa/kisukari etc, ukishajua ukaridhisha moyo wako, utafanya nini? yeye anafaidika nini na wewe kujua aumwacho? sana sana ataambulia unyanyapaa....

  Nashangazwa sana na hii tabia ya siku hizi ya waTanzania kufikiria afya/matatizo ya kiafya ya watu mashuhuri yanawahusu...wakati Vengu anaumwa kulikuwa na thread kibao hapa JF, na hata kwenye magazeti ya udaku yakihoji anaumwa nini kwa nguvu zote..kana kwamba wana haki ya kujua fulani anaumwa nini! Unataka kujua kisha nini? ufanye nini? au we unaona raha tu kujua fulani anaumwa nini hata kama huna msaada wowote kwake na haikuhusu!?


  Tuheshimu faragha za watu jama....
   
 15. Gwandalized

  Gwandalized JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  heri yenu nyie mlio wazima,na mna mikataba ya kuendelea hivyo hivyo
   
 16. t

  taranda Member

  #16
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ivi huyu waziri mbona anakoroma sana? Kaskia kuna baraza jipya la mawaziri lipo mbioni kuundwa ndio maana anapiga makelele kuwa yupo fiti..amekuwa mbogo sana akiambiwa anaumwa
   
Loading...