Mhe. Kabwe Zitto Live ndani ya Jahazi la Clouds FM!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,428
113,433
Wale wenye access sikilized Jahazi la Clouds FM, Mhe. Kabwe Zitto yuko live ndani ya nyumba anashuka na nondo za kufa mtu!
 
Dhu mpaka hapo sijapata kitu ................. Unajua wengi tunategemea mtandao!!
 
Akitoka hapo aende radio Uhuru akamwage nondo za kufa mtu. Utakapo ona Nancy Pelosi anakwenda kwa Rush Limburg kumwaga nondo basi ujue kuna something!
 
Iyo radio huwa sisikilizi,hata kamanda wangu lema endapo akitangazwa kuwa mgeni ktk iyo studio kesho sitawasikiliza.dats maggamba media
 
Nimemsikiliza lakini nimefunga redio alipoanza kumtetea Chami. Jamaa (Zitto) hana msimamo kabisa.
 
Nimsikilize Zito?huyo ni gamba ndani ya CDM,naona kaamua kutumia radio ya chama chake kinachomtumia
 
Mkuu nimekusikiliza ulipokuwa unahojiwa na Kibonde clouds fm.

Mkuu nahisi kama unajisahau sana au hujitambui kama unaongoza kwa kusingiziwa mambo kibao kama ulivyodai unanifanya nifikiri mara mbili juu yako. Hivi unajua wajibu wako? Hivi unajua kwamba wewe ni mwanasiasa wa upinzani? Hivi unaelewa wewe tunakujua kama mmojawapo wa makamanda mlio mstari wa mbele huku tukiwafata nyuma? Ulitaka usifiwe na nani sasa? Mbona wanasiasa kibao wanasingiziwa mambo mengi na wako kimya kwa sababu wanajua ndio kazi yenyewe?

Mkuu nakushauri kama unataka maisha easy na soft ingia CCM ili ukasifiwe kama yule kilaza uliyemtaja kwamba ni "mwanasiasa kijana''. Wanasiasa kama wewe mtatuponza sana nyie. Mwisho wako kisiasa sio mzuri unless ukubali kubadilika
 
Zitto ni mwanasiasa makini sana na nyota yake inaweza kumfikisha mbali sana.

namshauri kupunguza kuongea mambo ya chama bila kufuata tarataibu au kupata muafaka wa chama itampa shida kwa sabau vyama vina makatibu mwenezi. mfano, suala la kusema Regia ndiye alianzisha mchakato wa kwenda kwa Rais wakati kipindi hicho alikuwa anaumwa hadi akaplekwa India pengine kuna jambo lilimpita lakini pia suala la Downs na posho za wabunge amelisemea sana kwa mamlaka.

Bado namkubali Zitto.
 
Nimesikiliza akiangushia mabomu TBS ampapo panasadikika pameoza kwa uozo kila kona

Licha ya kupewa mwamla ya kudhibiti viwango vya vitu sasa imekuwa ni dili kwa mafisadi.

Hongera Mh. Zitto Kabwe!

Viva Wapinzani!
 
Mkuu nimekusikiliza ulipokuwa unahojiwa na Kibonde clouds fm.

Mkuu nahisi kama unajisahau sana au hujitambui kama unaongoza kwa kusingiziwa mambo kibao kama ulivyodai unanifanya nifikiri mara mbili juu yako. Hivi unajua wajibu wako? Hivi unajua kwamba wewe ni mwanasiasa wa upinzani? Hivi unaelewa wewe tunakujua kama mmojawapo wa makamanda mlio mstari wa mbele huku tukiwafata nyuma? Ulitaka usifiwe na nani sasa? Mbona wanasiasa kibao wanasingiziwa mambo mengi na wako kimya kwa sababu wanajua ndio kazi yenyewe?

Mkuu nakushauri kama unataka maisha easy na soft ingia CCM ili ukasifiwe kama yule kilaza uliyemtaja kwamba ni "mwanasiasa kijana''. Wanasiasa kama wewe mtatuponza sana nyie. Mwisho wako kisiasa sio mzuri unless ukubali kubadilika
Mkuu Director1. Nimemsikia Zitto kusema ukweli amekwenda a step ahead amesisitiza change ya mind set kutoka kulalamika na kwenda kwenye kutenda positive affimatives for the better of Tanzanians.

Amewasisitiza redio ya vijama, Clouds FM
kuwaita wabunge vijana sio kuwasifu bali wamwage issues.

Kesho ni zamu ya January Makamba!.
 
Back
Top Bottom