Ofisi waziri mkuu wizi mtupu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ofisi waziri mkuu wizi mtupu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OMUSILANGA, Feb 16, 2012.

 1. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo Wakuu, ile kauli ya Tanzania kuwa shamba la bibi imeendelea kuthibitika jana pale kitengo cha maafa ,ofisi ya mtoto wa mkulima ilipo kutwa na matumizi mabovu ya fedha za watanzania walipakodi. Ubadhirifu huu umethibitishwa na kamati ya bunge hesabu za serikali chini ya mwenyekiti wake Mh John cheyo. Hivi kwa mwelekeo huu kuna ofsi na wizara iliyosafi katika matumizi sahihi ya pesa za walipa kodi? Je Waziri mkuu bado anastahili kuitwa mtoto wa mkulima? Naomba kuwasilisha ili tujadili hii mada.
   
 2. Mbutunanga

  Mbutunanga Senior Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nadhani katibu wa waziri mkuu (Lyimo), inabidi atoke hiyo ofisi, maana ndio anakiongoza hicho kitengo kwa majigambo makubwa. He needs to go!!
   
 3. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  siku nyingi ukulima kauweka kando, mtoto wa mfanyabiashara
   
 4. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duuh baada ya kunyimwa posho na jk, jamaa wameamua kujilipa wenyewe kwa mlango wa nyuma
   
 5. m

  migomo ya vyuo Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yeye kuwa mtoto wa mkulima sawa, ila atuambie yeye binafsi ni nani? mkulima, shoga, fisadi, changudoa, jamabazi, mfanyabihashara wa vioungo vya albino, muuwaji , firauni au ni nani. baba yake hakukosea yeye kuwa mkulima tatizo ni pinda mwenyewe mbona hayaishi matendo ya baba yake. mbona amekuwa muongo, mwizi, fisadi na mchafu wa maovu yote?
   
 6. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  jamani alishasema huku akilia kuwa account yake haina zaidi ya mill 25.

  linanikera sana hili linafiki jambawazi,eti mtto wa mkulima.

  lakini tumuache tu mana kisingizio chake kikubwa kulia lia tu, JITU ZIMA HOOVYO.
   
 7. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #7
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Unasahau Katibu wa Wizara ndiyo boss wa wizara?

  Mawaziri ni kama mabosi kivuli waizarani... Katibu ndiyo mambo yote...
   
 8. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Kitengo muhimu ila kinafanywa sehemu ya kuganga njaa.
   
Loading...