Nani aliyeanzisha mchezo wa kununua shahada za kupigia kura

MdogoWenu

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
555
915
Angalia 021420121023.jpg
 
Hii ni propaganda ya chama tawala!!! CCM ndiyo wenye kufanya mambo hayo. Nenda vijijini watakupa data zote! mabalozi hutumika katika zoezi hili!!! aibu!!!!
 
Gazeti lenyewe ni uhuru, aliyeleta hii thread ni magamba, anayeshabikia ni magamba, hawa wote ukiwajumlisha unapata zero brain, hizi ni propaganda kuanzia mwanzo wa vyama vingi ili wapinzani waonekane ndo wezi kumbe ni kinyume chake
 
Nasikia wametenga Mil.30 ili kununua shahada huko Arumeru, MAGAMBA bwana!!!

Hiyo ni cha mtoto...kwa nafasi ya udiwani kata ya Kirumba jijini Mwanza ambapo mbuge Novatus toka CDM alishinda na baadaye akafariki Dunia...CCM wametenga Million 400...eti waikomboe hiyo kata irudi kwao...ishu ilisha vuja...vijana wa Kirumba wanasubiri siku ya uchaguzi wafanye vitu vyao...I'm among the frontliners...mtapata kila kitu from Kirumba Mwanza...ni uchaguzi wa kuziba pengo la diwani...ila utakuwa mkali kati ya CCM na CDM kama inavyotabiriwa kwenye uchaguzi wa mbunge kule Arumeru Mashariki.
 
jana nikichangia thread moja nilipingana na mwenzangu mmoja aliyekua anasema Mkapa alijenga msingi mzuri wa demokrasia! vitendo vya kununua shahada za kura,kuiba kura na kuchakachua matokeo viliasisiwa na utawala wa Mkapa kwa kutumia vyombo vya dola na leo imekua kansa hatari ktk demokrasia yetu!
 
Back
Top Bottom