Dr. Slaa apewa mtihani mzito!

Mbona hueleweki? Issue ni nini hapo! Ni yeye anayetakiwa kugombea au mtihani ni yeye kama katibu kumpata mgombea! Sema unachotaka kusema!!!!! Hopeless and ambiguous thread!
 
Mtihani uko wapi?- kijana Nasari aliafanya kazi nzuri sana mwaka jana kama siyo uchakachuaji angekuwa ndiyo mbunge sasa shida iko wapi?
 
''Hata hivyo, Dk. Slaa alipotafutwa na gazeti hili aweze kuzungumzia juu ya hatua hiyo, alisema kwa kifupi: "Siwezi kulizungumzia jambo hilo, maana nilikwisha kusema muda mrefu kuwa sitaki tena ubunge na isitoshe mimi si mwenyeji wa Arumeru.
 
Aende akagombee ubunge tu maana Urais tena kwa 2015 sijui kama CHADEMA watamsimamisha yeye.
 
Aende akagombee ubunge tu maana Urais tena kwa 2015 sijui kama CHADEMA watamsimamisha yeye.

Kwani wewe ndiye msemaji wa Chadema? kuwa hawatamsimamisha kwenye Uraisi mwaka 2015?
Kwa taarifa Dr.Slaa ni Rais wa watanzania walio wengi kasoro mafisadi,na hatua hiyo ya Ubunge
amekwisha ivuka si saizi yake kabisaa""!
 
Aende akagombee ubunge tu maana Urais tena kwa 2015 sijui kama CHADEMA watamsimamisha yeye.
Hata asipopewa Urais bado anawatumikia wananchi kama Katibu mkuu CDM tena Katibu Mkuu Bora kuliko wote TZ nzima. Jiulize wewe unaitumikiaje nchi yako?
 
''Hata hivyo, Dk. Slaa alipotafutwa na gazeti hili aweze kuzungumzia juu ya hatua hiyo, alisema kwa kifupi: "Siwezi kulizungumzia jambo hilo, maana nilikwisha kusema muda mrefu kuwa sitaki tena ubunge na isitoshe mimi si mwenyeji wa Arumeru.

Safari _ni_Safari ni gazeti gani lililoandika hii?
 
Hata asipopewa Urais bado anawatumikia wananchi kama Katibu mkuu CDM tena Katibu Mkuu Bora kuliko wote TZ nzima. Jiulize wewe unaitumikiaje nchi yako?

Kwa kufanya biashara ya mifuko ya plastic (Rambo) katika soko la Temeke sterio.
 
waandishi wetu wanachekesha sana.yaani hii habari imeanzia hapa jf leo hii iko kwenye gazeti!halafu na wewe mleta thread hujui kwamba hii habari ipo jamvini?
 
sielewi hapa,mtihani mzito uuupi????

mbona siku nyingi tu huyu bwana alishasema hayuko tayari kugombea ubunge tena.
 
Back
Top Bottom