Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katika uchaguzi uliopita 2010, Nassari wa CHADEMA alipata kura 27,000 wakati Sumari wa CCM ambaye alishinda na kuwa Mbunge wa jimbo alipata kura 32,000. "Mwaka 2010 niligombea ikiwa muda mfupi tu...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Katika uzi juu ya mada ya maoni juu ya katiba mpya(12.2.2012) for curiosity nilipoyapitia nilipata haya wewe unasemaje lako liko hapa? Najua ni ngumu lakini fikiri, chekecha, weka lako moja...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
TUME ya Maadili ya Viongozi wa Umma imeanza mchakato wa kuhakiki mali za viongozi wa umma nchi nzima ambapo kwa awamu ya kwanza itaanza na vigogo 60 akiwamo Waziri wa Ushirikiano wa Afrika...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwa mawazo yangu kamati kupoteza muda kuchunguza mali za viongozi ni ****** wa hali ya juu. Kama kiongozi amepata pesa kinyemela anaweza kuweka mali kwenye jina la mtu yeyote au hata kuweka pesa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Halo naomba ufahamu kuhusu hili nimesikia baraza la mawaziri linavunjwa sina hakika if yes swali linakuja..... kitendo cha rais kutaka kuvunja baraza la mawaziri kwa sababu wanaumwa ni kuwatendea...
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Wakuu ni kitambo sasa sijayasikia matamko ya mwenyekiti shupavu wa Baraza la vijana wa chadema a.k.a BAVICHA...natamani sana kumsikia akitoa maoni yake kwa njia yake ile ile ya matamko na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi huyu vuvuzela wa CCM hii kasi yake inakwenda wapi? Kaacha kutukanwa sasa kwa sehemu kubwa, anaandikwa na kuripotiwa vizuri na media kwasasa ukilinganisha na mwanzo! Haya yanatokea yenyewe au...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya CCM imesema kuanzia sasa ukomo wa viti maalumu vya ubunge, uwakilishi na udiwani ni vipindi viwili, baada ya hapo watatakiwa kwenda majimboni kugombea. Uamuzi huo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
ni jambo la kushangaza watz kuendelea kuvumilia serikali legelege iliyoko madarakani,uchumi umeyumba,huduma za jamii zimezorota,hali ya maisha kwa ujumla imendelea kuwa ngumu,haki inapatikana...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Hivi karibuni Bodi ya Mikopo ya wanafunzi (HESLB) imetoa majina ya wadaiwa sugu ambao hawajaanza kukatwa kile kinachoitwa 'mikopo yao' kwa mujibu wa sheria ya bodi ya mikopo kifungu cha 9 ya mwaka...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Written by Harith Ghassany // 15/02/2012 // Habari // 3 Comments Na, Vijana wa Umoja wa Kitaifa – Zanzibar. Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, sheria namba 8, haiwezi kuwa juu ya Katiba ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Posted on February 14, 2012 by zanzibaryetu Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akifunga semina ya siku mbili ya kujadili hali ya kisiasa Zanzibar Lakini hata hivyo, ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sina maana ya kumdhalilisha mtu yeyote na kama ikitokea kumuudhi mtu awaye yeyote natanguliza radhi, ila hili limenigusa leo wakati nasikiliza BBC japo lilianza muda mrefu ila limeonekana kuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
"celebrating the daughters of Africa" is the theme of the black history celebrations 2012. Watanzania hebutu uuambie ulimwengu kwamba hata Tanzania kuna wanawake walio fanya maajabu na wana faa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama mwanachama hai wa CCM, natambua Mwongozo Wa mwaka 1981 katika sehemu ya (57) ibara ya (5) unatamka kwamba: "Kujikosoa na kukosoana ni silaha ya Mapinduzi". Katika sehemu ya (59), Mwongozo...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Dk. Batilda Burian Shahidi wa pili upande wa ulalamikaji, katika kesi ya kupinga matokeo ya ubunge wa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbles Lema (Chadema), Agness Gideon Mollel, ameieleza...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jimbo la Kawe, Mkoa wa Dar es Salaam, kimeanzisha ‘Data Benki’, ambayo hutoa ujumbe kwa wananchi ili kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao, Chama cha...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Tanesco, Dowans waendelea kuvutana mahakamani S Wednesday, 25 January 2012 20:37 James Magai Mwananchi MVUTANO mkali baina ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Kampuni ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifuatilia mauaji dhidi ya RAIA wasio NA hatma Huko Syria. Umoja wa mataifa umoja wa afrika haujafanya juhudi ZA kuzuia mauaji HAYO, ili kuonesha kuwa hatuafiki mauaji yanayoendelea...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
jamani tutafika kweli? Anna Makinda - Tumeongeza posho kwa wabunge kwasababu maisha ya Dodoma yamekua magumu sana..... Basil Mramba Waziri--- Ndege ya Rais Lazima Inunuliwe ikiwezekana hata...
1 Reactions
0 Replies
846 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…