Miaka 7 ya JK hana alilofanya, miaka 3 iliyobaki hana jipya

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
911
668
ni jambo la kushangaza watz kuendelea kuvumilia serikali legelege iliyoko madarakani,uchumi umeyumba,huduma za jamii zimezorota,hali ya maisha kwa ujumla imendelea kuwa ngumu,haki inapatikana mpaka kwa migomo na maandamano,binafsi nilishawahi kupitia jukwaa hili kuonyesha udhaifu wa rais haswa kwenye mambo ya msingi,mfano wakati tukiwa kwenye matatizo ya mgao wa umeme rais anazungumza mwaka mmoja baadaye,kitaaluma rais wetu ni mchumi alipswa kuwambia wananchi athari za sasa na baadaye zilizotokana na mgao wa umeme na serikali imejapangaje kutatua kero zao,swala la madaktari kwa sababu pia ya kutona mbali atakuja kulizungumzia kwenye hotuba zake za mwisho wa mwezi,tumepoteza maisha ya ndugu zetu kwa sababu ya ubabe wa serikali,leo rais anakuja kuzungmza a month later,watz tuamke kwa nini asipumzike tukapata rais mwingine niinaamini hatutapata dhambi kwa mungu kwa kumwondoa huyu msanii madarakani,ninaamini mungu atasmama na sisi,hatuwezi kushindwa wenzetu wameweza why nt us? tuweke itikadi pembeni tupiganie taifa letu,nchi yetu si masikini ni kwamba hatuna viongozi wanaojali matatizo ya watz...
MUNGU IBARIKI TANZANIA..
Nawasilisha
 
Sio miaka 7 ni miaka mitatu tu Kwani mitatu na ushee alikuwa anabembea mamtoni...
 
umeandika kwa chuki sana.inaonekana umeota usiku,af asubuhi hii umekimbilia JF kuhara
 
Mods hii thread unaweza kuiunganisha na ili iliyobeba kichwa cha habari "Baba Mwanaasha mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni" ili aliyeileta akaone mbivu na mbichi anazohitaji.... kuiacha ikiwa inajitegemea tukakuwa tunarudia mambo yale yale.
 
ugumu wa maisha ni kipimo cha akili yako,ie uwezo wako wa kufikiri.unataka kikwete akuletee pesa ya matumizi na mkeo nyumbani?
 
fanya kazi wewe acha kulalamika.kwa lugha yetu kule kijijini tunasema WORK HARD MEEEEEEEEEEEEEN
 
kipo alichikifanya....katuletea mfumuko wa bei usio na mfano wake katika historia ya tanzania na tanganyika
 
I like that, mtu anaweza akaibuka na vipimo vyake bila vigezo na akakupa zero. Nanini baraka kwanini usirudie vipimo vyako kwanza na kutupa vigezo ili nasisi tuangalie mantiki ya hoja yako. Inawezekana kabisa unachosema ni ukweli lakini hisia zako tu hazitoshi kwa great thinker
 
Hakuna mtu mwenye akili zake timamu anayeweza kukubaliana na wewe, na katika hali ya kawaida hakuna mwananchi angeweza kumvumilia Rais yeyote akaendelea kubaki madarakani tena kwa kumchagua kwa kipindi kingine ili aendelee huku akijua kuwa hajafanya lolote kabisa... rekebisha thread yako!
 
ugumu wa maisha ni kipimo cha akili yako,ie uwezo wako wa kufikiri.unataka kikwete akuletee pesa ya matumizi na mkeo nyumbani?

hatutaki hilo ila serikali itengeneze mazingira mazuri ya ajira ya kujitegemea au mafunzo kwa vijana wapate uzoefu wa kazi ili waweze kujiajiri au kuajiriwa katika sekta binafsi...mazingira ya sasa graduates wangapi wanapata ajira au wangapi wanaaply wanaambiwa hamna kazi..je serikali kwa nini isitengeneze internship program kubwa ya kuchukua hawa graduates kuwapa hizo experience...yaani kwa kifupi ubunifu wa ajira unatakiwa mbona wamerakani na maendeleo yao na filosofia yao ya ubepari na individualism bado wanalalamikia serikali yao kuhusu ugumu wa maisha? tafakari
 
Na mimi nikiibuka tu na kusema mtoa thread umekurupuka bila kuanisha nimefikaje kwenye jibu la kukurupuka nitaonekana hakunaga. Haitoshi kutuaminisha tu kuwa hajafanya kitu.
 
I like that, mtu anaweza akaibuka na vipimo vyake bila vigezo na akakupa zero. Nanini baraka kwanini usirudie vipimo vyako kwanza na kutupa vigezo ili nasisi tuangalie mantiki ya hoja yako. Inawezekana kabisa unachosema ni ukweli lakini hisia zako tu hazitoshi kwa great thinker

Songambele you really deserve to be a great thinker.... Naninibaraka tuletee vigezo ulivyotumia, then you will be supported otherwise you don't deserve to be among the great thinkers.
 
Kinyesi kinaweza kuwa mbolea na pengine nishati pamoja na kwamba kinanuka. Mpe Jk haki yake kusema hakuna alilofanya sitakosea kusema una chuki binafsi.
 
hatutaki hilo ila serikali itengeneze mazingira mazuri ya ajira ya kujitegemea au mafunzo kwa vijana wapate uzoefu wa kazi ili waweze kujiajiri au kuajiriwa katika sekta binafsi...mazingira ya sasa graduates wangapi wanapata ajira au wangapi wanaaply wanaambiwa hamna kazi..je serikali kwa nini isitengeneze internship program kubwa ya kuchukua hawa graduates kuwapa hizo experience...yaani kwa kifupi ubunifu wa ajira unatakiwa mbona wamerakani na maendeleo yao na filosofia yao ya ubepari na individualism bado wanalalamikia serikali yao kuhusu ugumu wa maisha? tafakari

Huu ni ushauri mzuri for a better life of every Tanzanian but we can't deny that he has done nothing at all!
 
I like that, mtu anaweza akaibuka na vipimo vyake bila vigezo na akakupa zero. Nanini baraka kwanini usirudie vipimo vyako kwanza na kutupa vigezo ili nasisi tuangalie mantiki ya hoja yako. Inawezekana kabisa unachosema ni ukweli lakini hisia zako tu hazitoshi kwa great thinker

Nimekupenda una akili sana. Jibu lenye akili.

Kama ni binti tuwasiliane naweza kuleta posa. Natafuta jinsi za mama wenye akili kwa faida ya watoto wangu.
kama ni mwanaume niwie Radhi kwa shambulio langu la aibu dhidi yako.
 
Naninibaraka,

Umeleta ushuuuuuzi hapa unanuka nenda kajisaidie ukaoge kisha rudi hapa utupe kipimo ulichotumia kufikia hitimisho hilo. Hitimisho la chuki daima hukosa vigezo na vipimo ulivyotumia kutoa mada hii.
 
icon1.png
Naanza kumkubali/kumpenda JK

1.namna anavyoichukulia hii ishu ya Katiba-JK alikubali kuyafanya mapendekezo ya CDM kuwa ndio mswaada wa serikali
hata kama wabunge wa CCM waliigomea serikali lakini JK personally ameonesha ukomavu mkubwa nampa saluti.

2.JK aliruhusu posho kuwa 200 baadae akarudisha kubaki 70 naamini JK alisoma alama za nyakati na akoweka pembeni matakwa ya wabunge wa ccm ya kutaka 200.

3.JK tumemsemea mbovu sana na magazeti chafua yeye sana, nakiri kuna vitisho kwa waandishi wa habari ila si kama kipindi cha Mkapa. Mkapa angesha muweka ndani Mr.JF na Mwanahalishi+Mwanaichi+Tanzania daima

Na mengine mengi tu:

Huyu naye inawezekana ni kundi moja na wewe ila kama ataiona hii thread yako sijui reaction yake itakuwaje.
 
ugumu wa maisha ni kipimo cha akili yako,ie uwezo wako wa kufikiri.unataka kikwete akuletee pesa ya matumizi na mkeo nyumbani?
wewe chizi unazani hizo pesa wanazotumia kujitajirisha binasi na familia zao ni za nani kama siyo zetu :smash:
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom