Tususie maonesho ya wa Syria Diamond Jubilee! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tususie maonesho ya wa Syria Diamond Jubilee!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Juma123, Feb 15, 2012.

 1. J

  Juma123 Senior Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa nikifuatilia mauaji dhidi ya RAIA wasio NA hatma Huko Syria. Umoja wa mataifa umoja wa afrika haujafanya juhudi ZA kuzuia mauaji HAYO, ili kuonesha kuwa hatuafiki mauaji yanayoendelea Huko basi tususie bidhaa zako. Maonesho yanaanza tarehe 17 February.
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Ninawaunga mkono!!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,253
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  kina Membe hawatakubaliana na wewe
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Feb 15, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,651
  Trophy Points: 280
  Uhuni upo kwa maslahi ya wakubwa!
   
 5. s

  sweke 34 JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  inatakiwa tuandamane na mabango pale diamond jubilee ya kulaani mauaji yanayofanywa na serikali ya syria.
   
 6. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,767
  Likes Received: 2,669
  Trophy Points: 280
  Blackbold: Kwa style ipi, ukiwa ndani ya mipaka ya Syria (on ground) au kwa kusikiliza, kutazama, kusoma kupitia vyombo vya habari za 'unazi' wa Ulaya Magharibi ?

  Nijuavyo mimi kitendo cha ulaya magharibi na Arab League kuunga mkono uhasi wa raia waliorubuniwa kuhasi kwa shinikizo la nchi hizo hizo za Magharibi ili kumpindua Al Asaad, ni kuingilia uhuru wa nchi na kuvuruga misimamo ya nchi zinazotaka kuratibu mambo yake ya kuwaletea raia wake maendeleo ya maana.

  Nikirudi kwako, kususia maonyesho yaliyoandaliwa na Taifa huru la Syria, ni sawa na kuunga mkono "UNAZI" wa nchi za magharibi.

  Pole sana.
   
 7. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Balozi Karume alisema kuwa 'PILIPILI USIOILA INAKUWASHIA NINI?'
  Utakuwa mpuuzi kama ukiandamana kwa mambo ya Syria. Kama kweli unawashwa, anza na ccm pamoja na serikali yake kwa jinsi inavyoendelea kukuweka katika umaskini without any foreseable solution.
  Mind your buz, hacha kufikiri kama huko kwenye taarabu.!
   
 8. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,554
  Trophy Points: 280
  Yes! Charity begin at home!
   
 9. J

  Juma123 Senior Member

  #9
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kinacholaaniwa ni umwagaji wa damu, ingekuwa kuna Mkono wa magharibi, tayari wangle kuwa wameisha Ingia, Kama ni magharibi, basi wanaakili sana kuweza kuwa NA ushawishi mkubwa
   
 10. J

  Juma123 Senior Member

  #10
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  Wanaharakati walivyofanyiwa, imetutia uwoga WANANCHI
   
 11. J

  Juma123 Senior Member

  #11
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  Kuna damu imemwagika??
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Feb 15, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hassan 124 and Juma 123???

  Pretenders a.k.a wanafiki
   
 13. jambotemuv

  jambotemuv JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mwategemea TV na Redio za Magharibi ziwape taarifa za kuonyesha wafanyayo ili kupora maliasili za mataifa yanayokua? Leo wanakuambia wanapambana na Alqaida Afghanistan lakini walipoifika Libya waliwapa Alqaida silaha na baadaye utawala. Sasa haohao wanawatumia huko Syria kwa kisingizio cha kuleta amani na demokrasia. Tukumbuke mwenzio akinyolewa zako tia maji hauna mipaka. Hakuna utawala wowote duniani ambao hawaruhusu mabeberu wa Magharibi kufuja maliasili za nchi husika utaachwa usimame.
   
 14. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Utakuwa una mawazo mgando wewe.
  Hali ya maisha ilivyo hapa tz huioni?
  Maisha yako tit, ccm na serikali yake wanazidu kugawana rasilimali za nchi, au mpaka upigwe gonzi ndo uelewe?
  Mambo ya Syria waachie wenyewe, afterall you got nothing to deal with it, focus about your country, dont be brain washed by western propaganda.
  Wake up man!
   
 15. t

  thinka JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ahsante kwa taarifa nilikua sijui kama yanaanza trh 17 me ntaenda.we andaa bango lako
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Feb 15, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,376
  Trophy Points: 280
  Uzuri wa demokrasia ni kuwa wale wanaoona kuwa serikali ya Syria iko sahihi kuwashambulia raia wake waliorubuniwa na serikali za magharibi na wao wanaweza kubeba bendera za Syria na kuimba "adumu Assad, Adumu Assad!"
   
 17. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #17
  Feb 15, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,482
  Likes Received: 5,554
  Trophy Points: 280
  Mkuu unaamini ile ni nguvu ya umma?
   
 18. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #18
  Feb 15, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Laiti ungejua kinachoendelea duniani,usingetoa maoni haya.Wamarekani wamewachonganisha wananchi wa Syria na viongozi wao for their selfish end,establishment of the NWO.They feel Syria under the current regime is an obstacle to the establishment of the NWO and must be dismantled.Hawa jamaa hawamtaki Assad kabisa kwa sababu ana msimamo,sio nchi kama Bahrain.Tanzania,Quatar,Saudi Arabia ambazo viongozi wao hawana msimamo kabisa.Marekani itakachosema hewala bwana.Hawa jamaa wa Homs wanaojiita wapigania uhuru si lolote, ni vibaraka tu wa Marekani ambao serikali ya Assad haipashwi kuwavumilia.Viva Assad, tuko nyuma yako.
   
 19. s

  salaama JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 243
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 60
  Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100, si vema kukurupuka kufanya judgment based on media propaganda za watu wa magharibi ambao siku zote wamekuwa wanafiki.
  Hawa ndio watu siku zote wanailaumu Afrika kwa kuchangamkia resources za wachina, wakati wao leo hii wamekimbilia huko huko kuomba wasaidiwe pesa ya kusaidia mfuko wao wa madeni.
  isitoshe hawa wanafiki ndio waliounga mkono mapinduzi katika nchi nyingine alafu sasa wamenawa mikono baada ya kujihakikishia kupata mafuta...mengineyo ya ujenzi wa nchi hayawahusu.

  Lakini mwisho wa yote kidiplomasia Syiria wana historia ya pekee kwa nchi yetu. Wakati mwalimu nyerere anatafuta uhuru kwenye baraza la udhamini la umoja wa mataifa mwaka 1955 na 1957 Syiria pekee ndiyo walikuwa mstari wa mbele kutetea hoja za mwalimu za kuwa tanganyika ipo tayari kujitawala.....wakati wengine wote including India walipinga tz kupatiwa uhuru mpaka kipindi cha miaka 25.

  Soo while ipo haja as a matter of principle ya kutounga mkono vitendo vyovyote vya kupoteza maisha ya raia wasio na hatia vinavyofanya na serikali pamoja na waasi, tusiwe wepesi wa kuchukua upande based on one sided propagandas ochestrated by media za magharibi.
   
 20. Mtu Mzima

  Mtu Mzima JF-Expert Member

  #20
  Feb 16, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Usamehewe kwa sababu hujui usemalo.
  Ungeonekana wa maana kama ungeandamana kupinga mass failuire ya kidato cha 4 au vifo vilivyotokea kutokana na ukaidi wa serikali dhidi ya madaktari.
   
Loading...