Huu ndo uwajibikaji au ndo uhuru wa demokrasia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ndo uwajibikaji au ndo uhuru wa demokrasia?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MASHOW, Feb 16, 2012.

 1. M

  MASHOW Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halo naomba ufahamu kuhusu hili nimesikia baraza la mawaziri linavunjwa sina hakika if yes swali linakuja..... kitendo cha rais kutaka kuvunja baraza la mawaziri kwa sababu wanaumwa ni kuwatendea haki wale wagonjwa na je kuna muda walisha wahi kuwajibika kwa vile walikuwa wazima?mm naona ni mfa maji anatapatapa na ikiwa hivo sidhani kama itakuwa sahihi sana.waziri anawatendaji wengi ambao hata akiagiza tu inatakiwa kutekelezwa kama ingekuwa ni serikali makini na watendaji makini.thanx
   
 2. M

  Mussa Mussa Senior Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hiyo ndiyo bongo tutafika tuuuu
   
Loading...