John heche yuko wapi?..nimemiss matamko yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

John heche yuko wapi?..nimemiss matamko yake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mtukwao12, Feb 16, 2012.

 1. m

  mtukwao12 Senior Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu ni kitambo sasa sijayasikia matamko ya mwenyekiti shupavu wa Baraza la vijana wa chadema a.k.a BAVICHA...natamani sana kumsikia akitoa maoni yake kwa njia yake ile ile ya matamko na maandamano ili atupe route zake zile jamani...
  huyu jamaa ni kiboko sana na akijipanga vizuri anaweza kuja kuwa hata rais wa nchi yetu siku zijazo. ila kwa sasa nimeyamiss sana matamko yake jamani.
   
 2. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  atakuwa tarime tu anajenga chama...au kama si huko basi kamcheki makao makuu pale..
   
 3. m

  mtukwao12 Senior Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 112
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli aisee hata mimi nimelikumbuka sana jembe langu.
   
 4. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  umuhmu wa matamko huwa ni nin?
   
Loading...