Kuchunguza Mali za Viongozi ni fikra za Kimasikini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuchunguza Mali za Viongozi ni fikra za Kimasikini!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kamundu, Feb 16, 2012.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,108
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kwa mawazo yangu kamati kupoteza muda kuchunguza mali za viongozi ni ****** wa hali ya juu. Kama kiongozi amepata pesa kinyemela anaweza kuweka mali kwenye jina la mtu yeyote au hata kuweka pesa kwenye account za nje kama watuhumiwa wa rada. Hii ya kuchunguza viongozi eti wana mashamba mangapi, viwanja vingapi na nyumba ni fikra za kimaskini. Kiongozi kutokuwa na nyumba haina maana ni kiongozi mzuri inawezekana ni kiongozi mvivu. Tanzania badala ya kuweka sheria tumekuwa nchi ya kinafiki na kudanganyana sana. Kuna matatizo mengi sana Tanzania na hii kamati yenyewe ya uchunguzi ni tatizo.
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mkuu mbona kuna Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, 1995 inayotaka viongozi hao kutaja mali zao!
   
 3. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Kuna wale wanaosema wivu wa kike na mengineyo, sawa lakini kuwa tajiri sio kosa kosa ni namna utajili ulivyopatikana, kma ulivumbua meli unatuonyesha hiyo meli uliyovumbua uliiuza pale,kama uliokota kipande cha Tanzanite utauonyesha uliyemuuzia ili mtulipe kodi ya sales Tax, kama ulithi shamba la bibu yako utatuonyesha vikao na makubalino ya familia yako kuwa wewe ndio mlithi wa shamba la babu yako, na namna yoyote ile iwezekanayo utajiri ni kitu kinachoelezeka utajiri sio dhambi, utajiri ni mapenzi ya Mungu kama wengine walivyobalikia na Mungu kama wakina Solomon na Mtume Muhamad.Lakij kuna Utajiri wa mbinu na maarifa ya Kishetani ambao si halali kwenye jamii,kama wizi wa mali ya umma,utumiaji wa madaraka na kufaidika na privellege za kujilimbbikizia mali kwa tiketi ya nafasi ya madaraka.Rushwa, Utaperi, na mengineyo mengi yaliyo haramu kwenye jamii yetu na zingine zozote staraharabu duniani.
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wanataja mali chache sana ni kama 10% tu
   
 5. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #5
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Unafik tu. Chuki binafsi zitatawala. Waste of public money. Kiongozi anaeonekana kajilundikia mapesa mmoja mmoja na si kwa kipindi maalum ya kukaguliwa. Ukaguzi uwe wa kushtukiza with advance notice.
   
Loading...