Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NAANGALIA TAARIFA YA HABARI ITV HAPA. NIMESHANGAZWA NA KAULI YA MZEE NKAPA KUANZA KUSEMA KUWA ATAHAKIKISHA ANASIMAMIA MASLAHI YA WANANCHI NA KUWASAIDIA KATIKA SUALA LA UMILIKI WA ARDHI. YAANI...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hapa namwona kama Membe anamshangaa sana halafu naona anajiuliza hivi huyu mtu amesoma wapi??huyo mzee mwingine simfahamu
0 Reactions
17 Replies
3K Views
..Asema chama lazima kilinde nidhamu na kama mtu hataki kuwa na nidhamu tupiganie kuwa na mgombea binafsi, source:channel ten
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watanzania ni wazuri sana wa kuangalia filamu hasa zile za kigeni na hata pale ambapo lugha inakuwa haipandi tumekuwa tukitumbukiza maneno yetu wenyewe na kufanana kabisa kile kilichomo katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Pinda amekamilisha mkutano na waandishi wa habari hivi punde na meseji ya kubwa kwa madaktari ni kuwaambia kuwa serikali haiwezekani kushinikizwa na madaktari na kuwafukuza mawaziri Mponda na...
6 Reactions
490 Replies
23K Views
Kituo cha itv leo kimeripoti mwandishi wake kunusurika kupigwa na wafuasi wa cuf wakati wakichukua matukio katika mapokezi ya pr. Lipumba na kulazimika kuondoka mahali hapo je hasira hizi za wana...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimesoma kwenye gazeti la Jambo leo, kwamba dk slaa amezomewa na wafuasi wa CUF. jee hii kisiasa inamaanisha nini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NI kitu ambacho tunaweza fikiria kuwa hakiwezi tokea, lakini je kikitokea? Tujitahadhari, tusipeleke mipasho kwenye taaluma na mbaya zaidi UWONGO, vinaweza sababisha hasira zisizo na sababu.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Viongozi wa Chadema wamekata rufaa NEC kupinga suala la uraia wenye utata wa mgombea wa ccm sioi sumari. Hakuna ubishi maamuzi yaliyofanyika ni ya kibabe tu wa chama tawala katika kuhalalisha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Leo CDM wakiwa Tengeru ktk Viwanja kando ya barabara, CCM walikuwa Usa River na bahati mbaya nao walikuwa na watu wengi toka nje ya Arumeru.Baada ya mkutano ilibidi magari mengi yaanze rudisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akiwa rais yeye ndo kawaleta wazungu wa maua,sasa atamshaurije jk kurejesha mashamba kama si anatudanganya na 2meshawazoea wakati wa kampeni? Mkapa tulia,ile zama zako za kutudanganya zishapita
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mratibu wa Kampeni wa CCM, Bw Mwigulu, leo mjini Usa River alipokuwa akimnadi mgombea ubunge wake Bw Sioi Sumari, alizungumzia masuala ya ushoga na masharti tuliyopewa na Waziri Mkuu wa Uingereza...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika mazingira yaku tatanisha ( utani)mwingulu alijikuta akimwambia mke wa mgombea wa CCM kuwa ni mrembo wa kuvutia, na ikumbukwe sifa za huyu jamaa kule igunga kwa upendo na umoja SIOI chunga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
katika uchunguzi wangu binafsi nimegundua kuwa mzee mkapa amefikia kwenye hotel ambayo haijaunganishwa kwenye ''gridi ya maji'' ya taifa.hapa namaanisha huo mtaa ambao viongozi kadhaa wamefikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi kama walivyo watanzania wengine nilijongea kwenye kiwanja cha mpira USA ambapo kulikuwa una uzindizi wa kampeni wa chama choa. Kampeni ziliudhuriwa na viongozi mbalimbali wa magamba hayo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Unafagilia CCM na kusagia vyama vingine,Juzi taarifa ya uzinduzi Chadema mliifanya ya tano tena mkatangaza kwa ufupi sana,ngoja tuone ya CCM mtasemaje leo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Dodoma wameomba kukutana na Mwenyekiti wa Chama cha wananchi (CUF), Prof Ibrahimu Lipumba ili kujadili kuyumba kwa uchumi wa taifa na kulitafutia ufumbuzi suala hilo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tanzania sio maskini ila watanzania ni maskini! Watanzania ni maskini 100% kwa sababu ni wavivu wa kuwaza, watanzania wengi tumewapa viongozi wetu jukumu la kuwaza kwa niaba yetu, tunayaamini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SOURCE: itv news Anasema wabunge wa Tanzania ndio wanaongoza kwa kulipwa posho ndogo duniani na hata wabunge wa nchi jirani kama Kenya wanawashangaa.
4 Reactions
253 Replies
22K Views
NAANGALIA TAARIFA YA HABARI ITV. NIMESHANGAZWA NA KAULI YA MZEE NKAPA KUANZA KUSEMA KUWA ATAHAHAKISHA ANASIMAMIA MASLAHI YA WANANCHI NA KUWASAIDIA KATIKA SUALA LA UMILIKI WA ARDHI. YAANI ITS...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…