Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF Mi kwa mtazamo napendekeza ktk chama che2 CDM 2015 2msimamishe ZITTO ZUBER KABWE ktk knyang'anyiro cha MR.PRESIDENT cna maana kwamba Mh dkt.SLAA hafai,,ila ni mtazamo tuu....
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Wanachama wa CUF zaidi ya hamsini toka kisiwani Pemba (Ngome ya CUF) wamerudisha kadi zao na kuomba kujiunga na chama kipya cha ADC. Wana JF chama hiki kinaelekea wapi? Source:Blog ya Michuzi.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NEC Yamsafisha Siyoi: Pingamizi La Chadema Latupwa Nje NEC yamsafisha Sioi (Tanzania Daima) Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemsafisha mgombea wa CCM katika uchaguzi mdogo wa Arumeru...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi.........kama mmefuatilia kwa makini sasa hivi CCM wanafanya kazi kwa kupingana na habari na maoni ya wapinzani na watu wengine ambao wanagundua mipango yao kabla hawajaitoa kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
: Mahanga alikamatwa na masanduku ya kura Send to a friend SHAHIDI wa tisa katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge katika Jimbo la Segerea, Aziza Masoud (25) ameieleza...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Maneno gani yale uliokiwa unayatoa katika ufunguzi wa kampeni pale Usa river? Ulitutia aibu wanachama wenzako. Wala hukuwa unashangaa umati woote ule ulikuwa unakushangaa wewe ulikuwa unamwiga...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
naomba kujuzwa,kuna uhusiano wowote kati ya chama cha mapinduzi {ccm}na mapinduzi yaliyotokea zanzibar?kama kuna uhusiano mbona hakuna alama yoyote inayoashiria mapinduzi ktk nembo za chama?na...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Na Maggid Mjengwa, JAMBO moja kubwa ni dhahiri, kuwa Watanzania bado tuna safari ndefu sana kufikia hatua ya kuitwa taifa la kisasa. Tuyafanyayo mengi bado ni mambo ya hovyo hovyo, na wenye...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nilisikitishwa na viongozi wastaafu ambao wanapewa heshima na kulipwa pension zao kwa kodi za wananch wote bila kujali itikadi zoa kujishusha na kupigania kundi dogo la vyama vyao. Nilitegemea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Top 10 Worst (Best) Money Launderers The most surprising thing about the following list of the world’s worst money launderers is that, although managing to launder over US$50 billion between...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomba mwongozo: kuna tofauti gani kati ya kustaafu na kujiuzulu ? maana naona imekaa sivyo tukisema EL ni waziri mkuu mstaafu Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
It was an excitement, that Zitto himself could not hide when he met the only living front line leader, an Africa hero, a liberation hero, President Keneth Kaunda in his Office in Lusaka. Kaunda's...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Kitendo cha Raisi Mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha mapinduzi BMW kusema uongo mbele ya jamii ya watanzania haimshushi yeye tu heshima bali inadhalilisha cheo kizima cha...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kiliamua kuahirisha mikutano yake ya kampeni kwa siku ya jana iliyopaswa kufanyika katika maeneo ya King'ori, Maroroni naMakiba, kutokana na mgombea wake...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Pamoja na jitihada za kuzunguka kwa mlango wa nyuma na kuwapatia taarifa za ukweli CDM ili kumuwekea ngumu mpinzani wao katika kura za maoni bw sioi sumari, jana tume ya uchaguzi ilitupilia mbali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndiyo wakuu! Jumamosi jiji la mwanza litakuwa kwenye hekaheka za ujio wa Dr Slaa atakapo kuwa akielekea Chuo kikuu cha SAUT -Malimbe kuongoza kongamano la kitaaluma kwa vijana wote toka vyama...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Jana Leo alimwambia jaji Gabriel Rwakibasila kuwa Malalamiko ya dr Buriani kwa tume yalikua ya uongo kwani agosti 28,2010 aliyodai kuwa Lema alitoa matusi na kauli za kejeli na udhalilishaji...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Hatari iliyoje kwa nchi kama Tanzania kujidhihirisha haina mpango kazi katika taasisi za serikali na hata mashirika ya umma.Tumekuwa mabingwa wa kuunda tume mbalimbali zisizo na mafanikio bali...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kitendo cha CUF kufunga ndoa na CCM upande wa TZ-Visiwani na kuingia ktk SUK ni ishara tosha CUF sasa ni CCM na sio 'CCM B' wengi wanavyodai,CUF sasa ni pure CCM.Kama hivyo ndivyo kuna haja ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vyombo vya habari vya ITV na TBC zimekuwa zikiwakwaza watazamaji wake kwa kuegemea upande wa chama tawala katika kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru mashariki kwa kuonyesha kuwa ccm ina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…