Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KULA KWA CCM KURA KWA CHADEMA wala usigombane na mtu wanawarudishia walichowaibia
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Edward Ngoyai Lowassa (fisadi pacha) amerudi kwa kishindo kutoka ughaibuni alikoenda kwa ajili ya matibabu ya macho. Amewajulisha adui zake wa kisiasa, nafikiri ndani ya CCM, kuwa yuko tayari kwa...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Lowasa ulikuwa ofisi ya Waziri Mkuu. Ukaongoza kitengo cha maafa kilichoshughulikia mipangilio ya kuokoa maisha ya wenzetu waliokumbwa na mafuriko huko Tanga. Nchi mbali mbali zilitoa misaada...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
kila mfatiliaji mzuri wa siasa anatambua mchango wako katika kupigania haki za wanyonge, mpaka uliwahi kufukuzwa UDSM kwa ajili ya kupigania hak za wanafunzi wenzako, hata kule kwenu mbozi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wengi wamestushwa na madai ya Dk Harrison Mwakyembekuwa anaugua ugonjwa wa ngozi. Amezidi kuwachanganya watu zaidi kwa kummwagiasifa rais Jakaya Kikwete huku akijigonga kuhusu kueleza nini mawazo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ni hivi juzi tu nilipongeza chama cha siasa kinacho changiwa na makabwela kwa sababu huwa kina nguvu kuliko.Sasa leo asubuhi nimesikia kutakuwa na fundraising ya CDM pale AR tar23.03.2012.MM...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Diwani wa kata ya mlangali wilaya ya ludewa(CCM) amejinyonga usiku wa kuamkia leo. Habari kutoka kwa ndugu wa jirani wa diwani huyo zinasema kwamba diwani huyo alikuwa anamdai mtu sh. Milioni 81...
1 Reactions
63 Replies
10K Views
Chama cha mapinduzi (CCM) kimeendelea kung'ara na kuteka hisia za wananchi wa jimbo la Arumeru hali inayokipa wakati mgumu CHADEMA. Baada ya viongozi wakuu wa chama hicho kukumbwa na shutuma za...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Ile kesi iliyofunguliwa na mgombea aliyeshindwa kwenye kiti cha ubunge jimbo la Ubungo Hawa Ng'humbi inatarajiwa kuanza muda si mrefu.Leo anatarajiwa kupandashahidi wa kwanza kwa upande wa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
KIONGOZI NI MTU AMBAYE HATAKIWI KUFUMBIA MAOVU, NDANI YA TAIFA LAKE TUKUFU.Uongozi na siasa ‎"IF YOU LET GUILTY GO FREE, PEOPLE OF ALL NATIONS WILL HATE AND CURSE YOU" BUT IF YOU PUNISH...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
RichardBrunwick 26 January 2012 2:33PM Tanzania's Kikwete is one of the most pathetic African leaders of our times. He is a peacetime leader for a country known to be one of the richest in the...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Tangu ccm wameanza kampeni sijasikia wakisema mafanikio ya marehemu mzee sumari aliyofanya akiwa mbunge wa arumeru mashariki.ila na sikia majungu tuu na kujisifia wao ndio wenye serikali ndio...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Na Maggid Mjengwa, JUZI hapa mtoto wangu wa miaka kumi na miwili aliniuliza; “ Hivi baba, kwanini uchaguzi hapa Tanzania ni kila wakati. Mara utasikia Igunga na sasa ni Arumeru. Na kila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Monday, 19 March 2012 21:40 Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa ASEMA WAMEKWAMA KUMALIZA TATIZO LA AJIRA, AWATAKA MAASKOFU WAINUSURU, RUWAICHI AIPONDA KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI Juma...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni ktk kikao cha CDM Mwanza chini ya uenyekiti wa Dr Slaa. Source: Habari MBUNGE wa Nyamagana, Ezekia Wenje (Chadema), ameingia matatani baada ya kudaiwa kumtishia mtu kwa bastola katika kikao...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Nasema ushindi wa CHADEM Arm-Mashariki uko wazi CCM kubalini matokeo kwani mkikubali tu mtakuwa mnaonesha ukomavu wa kisiasa. Pia acheni vurugu,uongo,uzushi na siasa za kuchafuana. Tafuteni sera...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
nafahamu wengi hamtapenda lakini ndivyo dunia ilivyo ukimwaga ugali watu wanamwaga mboga lakini katika viongozi wa sasa wa vyama vyote vikuu hakuna aliyekuwa msafi tofauti ni kwamba kundi fulani...
0 Reactions
150 Replies
13K Views
Mwandishi Wetu, Arumeru WANANCHI wa Jimbo la Arumeru Mashariki, wameombwa kumchagua mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM, Sioi Sumari ili kumfuta machozi yaliyotokana na kifo cha baba yake...
0 Reactions
96 Replies
8K Views
M/Kiti wa Cuf ambaye ni M/kiti wa jopo la uchumi Duniani atawahutubia wakazi wa temeke na viunga vyake saa 10 jioni Leo.
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Sina nia yangu ya kuwatukana watanzania wenzangu, ila penye ukweli lazima pawe wazi. Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu siasa za Tanzania, na hatimae nikagundua kuwa si wanachama wa upinzani...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…