Diwani wa kata ya mlangali wilaya ya ludewa(CCM) amejinyonga usiku wa kuamkia leo. Habari kutoka kwa ndugu wa jirani wa diwani huyo zinasema kwamba diwani huyo alikuwa anamdai mtu sh. Milioni 81 na mtu huyo akagoma kumlipa ndipo diwani akaamua kujinyonga kwa kamba.