David silinde uko wap? CHADEMA tunakuhiaji Arumeru! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

David silinde uko wap? CHADEMA tunakuhiaji Arumeru!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by AdvocateFi, Mar 21, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  kila mfatiliaji mzuri wa siasa anatambua mchango wako katika kupigania haki za wanyonge, mpaka uliwahi kufukuzwa UDSM kwa ajili ya kupigania hak za wanafunzi wenzako, hata kule kwenu mbozi ulipigana mpaka kikaeleweka ukamshinda siame wa CCM ijapokuwa alikudharau kwamba we ni kijana mdogo eti hauna pesa lakini kwa uzito wa upiganaji wako eventualy ukashinda.
  plzzz njoo arumeru sasa usaidiane na makamanda wenzako wa CHADEMA ili tuongeze impact za kutosha hadi magamba wakione. tumpeleke kijana wetu Nassary mjengoni.
   
 2. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kweli kabisa! watu kama hawa tunawahitaji sana tu mkuu!
   
 3. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  wewe inaelekea hujapigana vita na hujui mbinu za vita! huwezi kupeleka silaha zote kali mstari wa mbele unaongeza na kupunguza silaha ukipima nguvu ya adui, hivo usijali makamnda wote hawa silinde, zitto, ndesa pesa, mnyika na kamanda wa vikosi vya anga mh. mbowe wataingia uwanjani kadri ya muda na plan ya vita,. hii ni kuwachanganya magamba tuu maana wanajiuliza je mbowe akija anakuja na lipi?
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mpaka sasa hawajui nini kinakuja maana mwendo unakuja Mdundo
   
Loading...