Nakwenda AR kuichangia CDM kwani kinashirikisha makabwela ipasavyo

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
1,389
285
Ni hivi juzi tu nilipongeza chama cha siasa kinacho changiwa na makabwela kwa sababu huwa kina nguvu kuliko.Sasa leo asubuhi nimesikia kutakuwa na fundraising ya CDM pale AR tar23.03.2012.MM nitakwenda kuchangia la msingi nipewe muda ni saa ngapi na mahali gani.NA WENZANGU MNIUNGE MKONO.
 
Chama kimeisha filisika hiki, hakina jipya. Pesa ya ruzuku iko wapi? pesa ya sabodo iko wapi?
 
Kwani tukichangia chama chetu wewe unaumia nini? Umeombwa kuchangia? kama wewe hujisikii bas acha tuchangie ukombozi wa nchi yetu kutoka kwa majambazi yenye rangi ya kijani. Tutashinda vita ya ukombozi wetu
 
Hao hapo chini ndio wamiliki wa Chama Cha Mapinduzi Company Limited na huyo Mzee wa Kudozi ndiye Office Messenger wao hadi kupeleka ujumbe tata kule Arumeru Mashariki alitumwa na wakubwa hawa wenye kuchangia fedha CCM kwa 'ukarimu' mkubwa.

images
images
images
images

Chama kimeisha filisika hiki, hakina jipya. Pesa ya ruzuku iko wapi? pesa ya sabodo iko wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom