Wassira: Dk Slaa Si Msafi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wassira: Dk Slaa Si Msafi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BigMan, Mar 18, 2012.

 1. B

  BigMan JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Feb 19, 2007
  Messages: 1,097
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  nafahamu wengi hamtapenda lakini ndivyo dunia ilivyo ukimwaga ugali watu wanamwaga mboga lakini katika viongozi wa sasa wa vyama vyote vikuu hakuna aliyekuwa msafi tofauti ni kwamba kundi fulani liko jikoni la kundi lingine liko sebuleni waliko jikoni wananafasi kubwa ya kula msosi wanavyotaka lakini ikitokea nafasi ya kundi lililoko sebuleni kuingia jikoni tatizo litakuwa lile lile kwani nao si wasafi ebu soma hii stori ya katibu mkuu wa magwanda akiwa na umri wa miaka sitini na tisa akini bado ana mchumba:....

  [FONT=&amp][/FONT][FONT=&amp]Kashfa ya katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema),Dk Willibrod Slaa imewekwa hadharani kwamba kiongozi huyo alifukuzwa upadri baada ya kutafuna mamilioni ya fedha zilizochangwa kwa ajili ya ujio wa hapa nchini wa Kiongozi wa Kanisa katoliki nchi duniani papa katika miaka ya tisini[/FONT]

  [FONT=&amp]Tuhuma hizo zimemwagwa na Waziri Steven Wassira katika mikutano ya kampeni za ccm kumnadi mgombea wa chama hicho sioi Solomon sumari katika Jimbo la Arumeru mashariuki[/FONT]

  [FONT=&amp]tuhuma hizo zinakuja wakati vyama hivyo viwili vikubwa nchini vikirusiana vijembe na makombora mazito mazito [/FONT]

  [FONT=&amp]kashfa hiyo imetolewa katika vijiji vya kata Kikwe katika Jimbo hilo la Arumeru Mshariki Mkoani Arusha.[/FONT]

  [FONT=&amp]Wassira alisema kwamba Dk Slaa ambaye pia aliwahi kuwa katibu mkuu wa baraza la maaskofu nchini(TEC) kabla ya kukumbwa na kashfa hizo za kutafuna mamilioni hayo ya fedha zilizochangwa na waumini wa katoliki kutoka vigango na parokia mbalimbali nchini ili kufaniisha ujio wa Papa miaka ya tisini kitendo kilichopelekea kufukuzwa kazi ya upadri.[/FONT]

  [FONT=&amp]amesisitizas kwamba kiongozi huyo hana kifua cha kupambana na ufisadi kwa kuwa hata yeye alitafuna fedha za kanisa.[/FONT]

  [FONT=&amp]Aliwataka wakazi wa kata ya Kikwe kumuuliza Dk Slaa chanzo cha kufukuzwa upadri pindi atakapotia mguu ndani ya kata yao na kuwataka wakazi hao kutosikiliza sera za kiongozi huyo kwa kuwa si msafi wa kujipambanua kwamba anapambana na ufisadi nchini.[/FONT]

  [FONT=&amp]Alimtuhumu Dk Slaa Pia katika hatua nyingine anatuhumiwa kumfukuza kazi mhasibu wa chama hicho ngazi ya taifa kwa kosa la kukataa kutekeleza maagizo yake amlipe shilingi milioni 10 mchumba wake,Josephine Mushumbushi kitendo kinachotia mashaka ya uadilifu wa kiongozi huyo.[/FONT]

  [FONT=&amp]Hata hivyo,alishangaa kitendo cha Dk Slaa kuishi maisha ya uchumba wakati akiwa na umri wa miaka zaidi ya 60 na kudai kitendo hicho kinashangaza umma wa watanzania pamoja na wafuasi wa vyama vya siasa nchini.[/FONT]

  [FONT=&amp]Wakati huo huo,Wassira ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM alisema kwamba mgombea ubunge wa Chadema,Joshua Nassari hafai kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa kuwa ni kijana mkorofi na mara kwa mara baba yake mzazi amekuwa akimsihi kuachana na ukorofi tangu wakati akiwa chuo kikuu cha Dar es salaam.[/FONT]

  [FONT=&amp]Alisema kwamba baba wa mgombea huyo ambaye ni kiongozi wa dini amekuwa akimsihi kuachana na ukorofi ikiwa ni pamoja na kuoa ili aweze kutulia lakini cha ajabu Nassari amekuwa akionekana na bibi wa kizungu mwenye umri wa zaidi ya miaka 60 akizunguka naye mitaani.[/FONT]

  [FONT=&amp]Wassira amewataka wananchi wote waliojiandikisha kuhakikisha wanatunza shada zao ili kuepuka kuporwa na wafuasi wa chadema[/FONT]

  [FONT=&amp]Amesema tayari chama cha chadema kimeanza mchezo mchafu kwa kusambaza waraka pamoja na vijana kwa ajili ya kununua shahada[/FONT]
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  hivi Slaa anawanyima sana usingizi watu aina ya Wassira?
   
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,109
  Trophy Points: 280
  mbona mrema alishasema na majibu yakatolewa siku nyingi zilizopita?

  jipya ni hilo la lumfukuza mhasibu kwa madai ya kukataa kumlipa 10mil bi Jose, na majibu yatapatikana hapahapa.

  kama kuna kosa kafanya la kimaadili, ataadhibiwa kwa mjibu wa kanuni za CHADEMA, kwani anatakiwa kuwa msafi daima
   
 4. Supervisor

  Supervisor JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 553
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kuna jimbo linaitwa 'Bububu' ni kama akili yako
   
 5. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,109
  Trophy Points: 280
  kwani ufisadi wa CCM unawanyima usingizi CHADEMA? cha msingi jibu hoja ili kama Dr. ambaye nami nampenda na kumkubali kama kiongozi mwadilifu tujue madhaifu yake na kama vipi ashauriwe vizuri ili asichafue tulipofikia
   
 6. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wewe ni Bigman au young man ? Maana haya unayo yasema na yule mgonjwa wa kulala hata akiwa kwenye kiti kawaida kwa msongo wa mawazo si mapaya yalisha semwa .Wassira yeye anafanya propaganda wait for the response next week Slaa atatia mguu huko ndiyo utajua kama ulikuwa hujui .
   
 7. p

  pstar01884 Senior Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duuuh... Kwa kweli Wasira ni choo cha stendi. Yaani ananuka afu msura wenyewe ule huku anaongea ujingaujinga kama huu. Upumbavu mtupu. Mzee mzima ovyo ovyo ovyo kabisa.
   
 8. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,597
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  ''hata yeye'' this is very nonsense statements of our politicians

  kwa hiyo wassira na CCM yake wana fanya ufisadi kwa sababu Slaa naye alifanya ufisadi......what a shame on this

  Chimpazee!!
   
 9. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  ndio,wasira anapataga usingizi bungeni tu,picha itawekwa hapa muda si mrefu.HALAFU WASIRA ANA KASHFA YA KUMWEKA KINYUMBA HOUSEGIRL WAKE PALE SINZA,AFU HUYO DEMU ANA MIMBA YAKE.
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Wanunuaji shahada maarufu wanatahadharisha ati watu wasije wakanunuzwa shahada! Wonders will never cease!
  Hiyo ya kashfa ya kula fedha ni ya kutungwa tu! Kanisa katoliki halijafukuza upadri waliolawiti watoto (no offence meant...) kosa ambalo Biblia inasema linafanywa juu ya mwili tofauti na dhambi zingine zote, seuze ya kula hela? Maskhara!
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Halafu watu wakianza kurusha madongo watu wataanza kuwabembeleza jamani heshimu watu wazima... yangu macho...
   
 12. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  huwa anapataka usingizi bungeni tu huyo,MBONA YEYE WASSIRA KAMWEKA KINYUMBA HOUSEGIRL WAKE PALE SINZA HATUONGEI? Wakimwaga mboga...
   
 13. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 493
  Trophy Points: 180
  Siasa za Maji Taka Karibu zinazoeleka Tanzania sasa!! Ila ninavyojua kwa Utawala wa sheria kila anayevunja sheria Huwa anapelekwa Mahakamani na Magamba Ndio Watunza sheria sasa Kwa Issue ambazo wao wanaona ni sensitive za uvunjivu wa sheria wanakuja kuzileta Majukwaani? Naomba wana Arumeru wawapuuze Hawa wanaoleta siasa kwenye mambo Yahusuyo sheria!!
   
 14. j

  junior05 Senior Member

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Watu kwa kufyokoa mambo,mtu unatafuta history za miaka hiyoooo ili umtie mtu hatiani,
  Sio rahisi kubalance mambo kihivyo unataka kutuambiaje sasa,wewe ndo wastahili kupingana na ufisadi
   
 15. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 493
  Trophy Points: 180
  Awajime usingizi wapi!! Mtu mwenyewe aliyetoa Tuhuma hizo siku zote Bungeni amelala hadi anatoa udenda!! Tunawaomba wana arumeru wamuulize Je ameamka lini usingizini ndio akapata hizo shutuma? Pia naomba Kampeni Manager wa Magwanda waprint Picha za Huyu Mlalaji na Ajenda iwe ni Ukimwamsha aliyelala watalala wao!! Hivyo ushahidi ni picha yake akiwa usingizini!!
   
 16. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mtapaka matope sana,lakini watanzania hawataziamini propaganda zenu,labda wale wachache wanaofaidika na mfumo wenu wa wizi na hao wachache ambao hawafaidiki na mfumo wenu lakini bado wapo kwenye dimbwi la kutoelewa!hv Wasirra maisha ya uchumba ni yapi na ya ndoa ni yapi?ipi heshima kwako kuzaa kama kuku au kua na maisha ya uchumba?nami nachojua kisheria mnapo ishi kiuchumba baada ya muda fulani inahesabika kua ni ndoa!na wewe Wasirra ni nini kilichokufanya uachane na mkeo ukaenda kuishi "kichumba" na mama Ndege?personal hataki si nzuri,mkongwe kama wewe unatakiwa kujenga hoja zenye tija kwa taifa ili na si mipasho
   
 17. L

  LISAH Senior Member

  #17
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ccm imeishiwa sera
  Sasa inahangaika haijui pakukamata
  Shame !
   
 18. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,077
  Likes Received: 4,662
  Trophy Points: 280
  Ww Wasira, kazi kupiga usingizi tena bungeni, huna jipya
  mbona ww umemfukuza mkeo kwa kumpiga mara kwa mara, na unatembea na kibinti kidogo unajifanya mkeo,
  na una wanawake si mmoja, ww si msafi hata kidogo in behaviour plus appearance as well, wtf....


   
 19. rweyy

  rweyy Senior Member

  #19
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  anaota ndoto si yeye mwacheni
   
 20. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hata mie nawashauri cdm waiprint iyo picha akiwa usingizini,wailete live..chipanzee
   
Loading...