Kesi ya kupinga ushindi wa JJ Mnyika itaanza muda si mrefu hapa mahakama ya kazi (hapa Akiba) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya kupinga ushindi wa JJ Mnyika itaanza muda si mrefu hapa mahakama ya kazi (hapa Akiba)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lua, Mar 21, 2012.

 1. L

  Lua JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ile kesi iliyofunguliwa na mgombea aliyeshindwa kwenye kiti cha ubunge jimbo la Ubungo Hawa Ng'humbi inatarajiwa kuanza muda si mrefu.Leo anatarajiwa kupandashahidi wa kwanza kwa upande wa mashtaka ambaye ni mgombea aliyeshindwa.....Kwa updates zaidi tutawajulisha mara tu mahojiano yatakapoanza.
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  asante kwa taarifa..
   
 3. Michese

  Michese JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  asante tunasubiria
   
 4. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  [h=2]hapa mahakama ya kazi (hapa akiba)[/h]
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Duh ushindi wa Mnyika nao kumbe ulipingwa mahakamani? Ningetamani kuona upande wa mlalamikaji unalalamikia nini kwenye ushindi ule.

  Mkuu kesi inafanyika mahakama ya kazi au ni wameamua tu kutumia hilo jengo?
   
 6. n

  ngoto New Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi kwa nini ccm ikishindwa wnakwenda mahakamani hata arusha. msiogope wanahakati wetu kwn
  mapinduzi ni muda mrefu na mtshinda kesi
   
 7. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mkuu Kimbunga, hii yote ni unafiki na kutoamini Mungu kama sharti la kuwa mwana ccm lilivyo.

  Ndio maana Wakenya wanatudharau!

   
 8. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Al za bect Mnyika
   
 9. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Masikini Hawa. Hata uchaguzi ukirudiwa John atashinda tena kwa kishindo kikubwa zaidi. Tunaangalia.
   
 10. M

  Molemo JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mungu yupo upande wa Mnyika
   
 11. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mbona nasikia imeahirishwa? nasikia huyo shahidi wa kwanza hajatokea. kama inaendelea tunaomba utupe updates.
   
 12. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hivi Hawa Ng'humbi ni yule mama aliyekasirika kwenye mdahalo alipoulizwa kauza nyumba? Anadhani ubunge angeuweza?
  Hizi kesi za CCM nazo zinatia kichefuchefu.
   
 13. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Naam huyu ndiye.
   
 14. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ng'mbi maana yake panzi,huyu mama ana kichwa cha panzi
   
 15. M

  Matunyengule JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 701
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mbona kisheria Mahakama ya kazi haina uwezo au Mamlaka ya kusikiliza kesi za uchaguzi hii vp?
   
 16. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Kama imeahirishwa Mwanyika asipoteze muda, aende Arumeru Mashariki ili akamwage sera kwenye kampeni ya uchaguzi mdogo.
   
 17. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  CCM wanafikiri kijeshi. Haya yanafanyika si kwa lengo la kupata ushindi katika jimbo la Ubungo. Wanachofanya ni kutibua utulivu katika chama pinzani ili kupata ushindi katika maeneo zaidi ya moja.

  Ukitibua FOCUS ya fikra katika intelligencia ya chama, unawaweka katika weaker position kutokana na kushindwa kuwa rational.

  Rafiki mmoja alisema hivi (na hii ndiyo agenda ya CCM): Mtu akienda kondeni kutengeneza mfereji wa kuondoa maji kwenye shamba la kondeni kwa kuogopa maji kuozesha mazao, lakini wakijitokeza mamba ndani ya yale maji, kwa vyovyote vile vita itageuka. Badala ya kuondoa maji kondeni, sasa vita itakuwa na kutetea uhai, na adui atakuwa mamba--siyo maji. Hilo ndilo CCM inafanya--kubadili focus.

  Dawa? Mbinu hizo hizo walizojifunza Bulgaria, Hungary, China na Urusi ndo zitumike kuwakabili.

   
 18. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tatizo la wana siasa wa kwetu hawako kwa ajili ya wananchi wapo kimaslahi zaidi,HAWA ng'humbi aliomba kura wananchi wakamtosa kwani ni lazima awe mbunge?
   
 19. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Ndiye huyohuyo dada wa Jenerali SHIMBO
   
 20. mooduke

  mooduke JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 619
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Haaa .... Dada ake nani? hii ni hatari kwa taifa.


   
Loading...