CCM mbona hawazungumzi mafanikio ya marehemu Jeremia sumari, au hakuna?

kijenge

Senior Member
Mar 9, 2012
179
164
Tangu ccm wameanza kampeni sijasikia wakisema mafanikio ya marehemu mzee sumari aliyofanya akiwa mbunge wa arumeru mashariki.ila na sikia majungu tuu na kujisifia wao ndio wenye serikali ndio wanaopaswa kuchaguliwa.kama sendeka anaacha jimbo lake lina matatizo kibao ya maji,afya, ajira nk. Yeye akishapewa mchanga tanzanite basi ameridhi ajali wapiga kura wake.mpka ifike 2015 awape nyama wampe kura.
 
  • Thanks
Reactions: GIB
Ngoja na mimi niangalie mbunge wangu lema kanifanyia nini .
 
Tangu ccm wameanza kampeni sijasikia wakisema mafanikio ya marehemu mzee sumari aliyofanya akiwa mbunge wa arumeru mashariki.ila na sikia majungu tuu na kujisifia wao ndio wenye serikali ndio wanaopaswa kuchaguliwa.kama sendeka anaacha jimbo lake lina matatizo kibao ya maji,afya, ajira nk. Yeye akishapewa mchanga tanzanite basi ameridhi ajali wapiga kura wake.mpka ifike 2015 awape nyama wampe kura.
Mtoto wa nyoka ni nyoka. Hana atakachokifanya marehemu aliahidi hakufanya kith miaka yote hiyo! Hiyo Kali.
 
Kwa ujumla hakuna lakujivunia ndio maana tipo hapa tulipo !
 
Marehemu Sumari Jeremiah R.I.P alianza kwa kuteuliwa kana naibu waziri wa fedha kipindi cha kwanza, hiki kipindi mpaka mauti yanamkuta hakufanya chochote labda barabara ya vumbi iliyokwanguliwa ili viongozi wa kitaifa wapite kuhudhuria mazishi, kwa maana nyingine alikuwa kilaza mzoefu. Sasa huyu kijana wake SIOI hata kuongea hajui itakuwaje tuachane naye hana jipya.
 
Tangu ccm wameanza kampeni sijasikia wakisema mafanikio ya marehemu mzee sumari aliyofanya akiwa mbunge wa arumeru mashariki.ila na sikia majungu tuu na kujisifia wao ndio wenye serikali ndio wanaopaswa kuchaguliwa.kama sendeka anaacha jimbo lake lina matatizo kibao ya maji,afya, ajira nk. Yeye akishapewa mchanga tanzanite basi ameridhi ajali wapiga kura wake.mpka ifike 2015 awape nyama wampe kura.

Nikweli kabisa hasa sendeka kulekwake aibu tupu. week ilopita nilikuwa pale Terrat eneo la ILARAMATAK OLKONERE aibu tena aibu watu hata barabara hawana, maji hawana , umeme wa tanesco hamna wanategemea umeme wa mwekezaji mmoja hawana soko wakuuzia bidhaa zao. kweli aibu. huyu sendeka sijui kwanini anachaguliwa. halafu anapita kwenye majimbo ya watu wengine nakuahidi maji ,barabara ,na umeme wakati kule tarrat hakuna.
jamani mkitaka kuhakikisha nendeni wilaya ya simanjiro kwa kupitia njia ya kwamrombo uhakikishe mwenyewe.
Sendeka arudi simanjiro .
nawakilisha
 
Mbunge Gani wa CCM; utazungumzia Mafanikio yao? wote ni walaji labda hayo ndio Mafanikio

Labda watoto wake wa kike; mmoja alishinda Miss Tanzania na Mwingine Dadadana ni Mwimbaji alikuwa Chadema akaenda

CCM akarudi Chadema akaamua kurudi CCM. Hayo ndio Mafanikio ya MZEE SUMARI from his Daughters!!
 
Kimsingi hakuna maendeleo kwa sababu ndio alikuwa bado anajipanga, ila kwa pale maskani kwao kawatoatoa familia yake
 
Matusi yanawachukulia muda mrefu sana, hawapati nafasi ya kuongea mafanikio wala sera za chama chao tena. Yote hii ni inatokana na kiwewe cha kuwaogopa CDM.
 
Mbunge Gani wa CCM; utazungumzia Mafanikio yao? wote ni walaji labda hayo ndio Mafanikio

Labda watoto wake wa kike; mmoja alishinda Miss Tanzania na Mwingine Dadadana ni Mwimbaji alikuwa Chadema akaenda

CCM akarudi Chadema akaamua kurudi CCM. Hayo ndio Mafanikio ya MZEE SUMARI from his Daughters!!

Jeremiah Sumari sio mzaz wa nancy wala nakaaya ni ukoo tu umefanana.
 
Back
Top Bottom