Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mgombea Ubunge ARUMERU aahidi kujenga reli

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mopaozi, Mar 23, 2012.

 1. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,072
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Leo Mgombea wa chama cha SAU huko Arumeru akihutubia mkutano wa kampeni uliokuwa na watoto na watu wengine kiduchu ameahidi kujenga reli ya kutumia makaa ya mawe ya Liganga,akiongea kama anapiga stori kijiweni na masela wake!! Wakuu hivi hawa wagombea wamelipwa kugombea au haiingii akilini kabisa nnnamshaka na utitiri wa wagombea wengine kuna walakini hapa! Source TBC na wamempa airtime kweli!!!!
   
 2. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,935
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  TBC zao la maji taka
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,072
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Leo nimewashangaa hata mgombea wa serikali wamemnyima airtime kama wa SAU!
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Nilifikiri ni Nasari ametoa hiyo ahadi! Kumbe mtu wa SAU!
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 28,708
  Likes Received: 3,598
  Trophy Points: 280
  i see.......
   
Loading...