Uraia wa Tanzania unategemea na maamuzi ya nchi nyingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uraia wa Tanzania unategemea na maamuzi ya nchi nyingine

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mundo, Mar 22, 2012.

 1. mundo

  mundo JF-Expert Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa mimi ninavyoelewa kuwa Mtoto akizaliwa nchi za nje ila wazazi wote wakawa ni waTZ anahesabiwa kuwa ni raia wa nchi ambayo amezaliwa automatically mpaka akifikisha miaka 18 ndio anaweza kuapa na kuchagua uraia wa nchi moja kati ya URAIA wa wazazi wake ama nchi ambayo amezaliwa. Na hilo nadhani LAZIMA achague nchi moja sababu TANZANIA haiko katika dual citizenship. Kama Nchi ambayo amezaliwa ina dual citizenship haiwezi kumkatalia kuwa na URAIA wa nchi nyngine, Lakini Tanzania LAZIMA Kuapa ili uwe kamili.

  Sasa LEO Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi katika Taarifa ya habari saa 2 usiku anatuaminisha kuwa mtu aliyezaliwa nchi ya nje kumthibitisha kuwa ni Mtanzania inabidi tuwaulize nchi hiyo kama sio raia wao ili awe wetu.

  Naomba ufafanuzi kwa wale watu waelewa wa issue hii atafafanulie ile tujue cha kufanya kuhusiana na watoto wetu ambao wamezaliwa nje.
   
 2. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nenda kakojoe ulale maswali gani haya saa hz watu wanakula bata!
   
 3. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  '' justice is not perfect....it is anything seems to be reasonable''
  huu msemo ingawa sio nukuu rasmi uliwahi kusemwa na jaji wa kimarekani wakati akitoa hukumu ya kesi ya wa wapi anna nicole smith azikwe.
   
 4. CHEMPO

  CHEMPO JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  CCM WANAMATATIZO ,TANGU LINI WAKAWA SAHIHI:scared:
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu ulivyosema ndivyo nivyofahamu mimi. Mtoto akizaliwa nchi nyingine anakuwa na uraia wa nchi mbili hadi akifikisha miaka 18 anaamua kuchagua anataka kuwa raia wa nchi gani kwa kuukana uraia wa nchi alikozaliwa vinginevyo atakuwa raia wa nchi alikozaliwa. Hii ya jaji sijui imekaaje.
   
 6. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Hawa wameamua kubadilisha sheria kwa ajili ya matakwa yao!!Kesho ukiwaulizwa swali hilo hilo,watakwambia ulisikia vibaya,hawakumaanisha hivyo!!
   
 7. vicent tibaijuka

  vicent tibaijuka JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hapana mkuu! mtoto takuwa na urai wa nchi hiyo iwapo zazi mmojawapo ni raia. kama hawajaoana na mama ni raia wa nchi hyo basi mtoto ankuwa raia kupitia mama. mfano mzuri ni Sweden. soma sheria ya urai kwa mtoto hapa.
  [h=1]Citizenship through birth, adoption or parents' marriage[/h]

  A child may automatically become a Swedish citizen through birth, adoption or parents' marriage. In cases where a child does not automatically become a Swedish citizen, there may be a possibility to apply for or to submit a notification for Swedish citizenship.
  [h=2]Swedish citizen through birth[/h]
  In Sweden it is the parents' nationality that determines the nationality of the child.
  • The child of a Swedish mother will always become a Swedish citizen.
  • The child of a Swedish father and a foreign mother will always become a Swedish citizen if the child is born in Sweden. If the father is married to the mother, the child shall receive Swedish citizenship at birth, irrespective of where in the world the birth takes place.
  • The child of a foreign mother who is married to, in a registered partnership with or is the common law spouse of a Swedish woman will also become a Swedish citizen if the child is born in Sweden and insemination took place with the Swedish woman's consent.


  [h=3]Dual citizenship[/h]
  A child who acquires the Swedish citizenship of their mother or father at birth may receive dual citizenship. This applies in the following circumstances:
  • The child is born in a country where the law stipulates that all children born there automatically become citizens of that country.
  • The child receives the foreign mother's or father's citizenship at birth.


  [h=2]Swedish citizen through adoption[/h]
  A child who is not yet 12 years of age and who has been adopted by a Swedish citizen automatically receives Swedish citizenship upon adoption if:
  • the child has been adopted as the result of a decision made in Sweden or in another Nordic country
  • the child has been adopted as the result of a decision made abroad and approved in Sweden by the Swedish Intercountry Adoptions Agency
  • the adoption is valid under Swedish law.
  The adoption must have been decided or approved after 30 June 1992. A child who has reached the age of 12 before the adoption may become a Swedish citizen by application.
   
 8. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Nijuavyo mimi, ukimzaa mtoto nje ya nchi anakuwa na uraia wa Tanzania wa kurithi.....hivyo akifikisha miaka 18 na kuutaka aukamilishe uraia wa Tanzania, lazima aombe AJIANDIKISHE. Kama hili halitafanyika, kwa tafsiri ya sheria, ataendelea kuwa mtanzania wa kurithi ambaye kwa kweli haki zake zimebinywa. Iwapo atabaki hukohuko akimzaa mtoto hawezi huyo mtoto kuwa raia wa Tanzania.
   
 9. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2012
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Hapa ni lazima tuzungumzie sheria ya Tanzania inayohusu mambo ya uraia na uhamiaji inasemaje kuhusihanana mazingira mbalimbali anapozaliwa mtoto nje ya nchi au ndani ya nchi. Na case zenyewe ni hizi:

  1. Mtoto anayezaliwa Tanzania na wazazi wambao wote si raia wa Tanzania
  2. Mtoto anayezaliwa Tanzania na wazazi ambao mmoja wao (Baba au Mama) ni rai wa Tanzania
  3. Mtoto anayezaliwa nje ya Tanzania na wazazi wote (Baba na Mama) ni Raia wa Tanzania
  4. Mtoto anayezaliwa nje ya Tanzania na wazazi mmoja wao (Baba au Mama) si raia wa Tanzania

  Je, sheria ya Tanzania insemaje kuhusu cases hizo?

  Ikiwa kuna utata wa sheria ya Tanzania, ni mahakama kuu au ya Rufaa yenye mamlaka ya kutoa tafsiri sahihi ya kisheria. Kwa hiyo suala hili inabidi labda lipelekwe mahakamani ili tafsiri sahihi ipatikane. Kuna case nyingi za aina hiyo zilizowahi kuamuliwa na mahakama kuu:

  1. Kesi ya Azim Pemji
  2. Kesi ya Idi Simba
  3. Kesi ya Arcado Ntagazwa

  Kuna kesi nyingine hazikwenda mahakamani lakini kuna watu walivuliwa uraia, je, walivuliwa uraia kwa vigezo gani?

  1. Jenerali Ulimwengu
  2. Maldrine Castico (aliyewahi kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Katibu Mwenezi wa CCM Zanzibar)
  3. Anatory Amani (aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kagera)
  4. Balozi Timoth Bandora (Aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchi za nje)
  5. Ali Nabwa (Aliyewahi kuwa mhariri wa gazeti la DIRA)

  nnnnn.k
   
 10. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kuna aliyechukua uraia wa kigeni na katika maamuzi yao wamemwambia kuwa maadam hajaukana uraia wa TZ basi wao wanamuhesabu kuwa ni mtu mwenye uraia pacha.
  Hataki kuukana uraia wa TZ, je pasi yake ya TZ ikiisha muda wake anaweza kuiongezea upya kupitia ubalozini? ubalozi au serikali ina taarifa (automatically) kuwa yeye ana uraia wa nchi nyingine pia?
  Anaweza kuja TZ na pasi ya TZ ili aweze kukaa muda mrefu bila kuhitajika viza au kibali, halafu wakati wa kutoka nchini anaonyesha pasi ya kigeni ili kuonyesha kuwa aendako hahitaji viza (kumbuka pasi yake ya kigeni itakuwa haina viza ya kuingilia TZ)?
   
 11. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba hakuna kesi ya akina Ulimwengu iliyowahi kwenda mahakama bali walivuliwa tu uraia na serikali akina Ulimwengu, Castico, Balozi Bandora na Anatory Ammani.
   
 12. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Lakini tuna chama cha wanasheria nchini ambacho mi binafsi sioni kama huwa wanafatiliaga upindishwaji wa mambo mengi tu ambayo wao kwa taaluma yao ingefaa waya challenge, wenzao wa nhi jirani huwa hawazubai kama hawa.
  nafikiri hii nchi inatatizo kubwa mno, kila mtu kivyake vyake
   
 13. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  unamaana gani kutuwekea sheria ya Sweden ilhali tunazungumzia za TZ?
   
 14. H

  HlydeDaue Member

  #14
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa wameamua kubadilisha sheria kwa ajili ya matakwa yao
  [​IMG][​IMG]
  [​IMG]
   
 15. P

  Paul S.S Verified User

  #15
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Huyu si Raia wa Tz kwasababu kitendo cha kuzaliwa Tz pekee hakikupi utaia wa Tz
  Huyu ni raia wa nchi mbili(dual citizenship) kwasababu mmoja wa wazazi wake ni Mtz, Lakini akifikisha miaka 18 itabidi akana uraia wa mmoja wa wazazi wake ambaye sio rai wa Tz
  It depend,
  A. kama nchi hiyo aliyozaliwa haimpi uraia mtu kwa kitendo cha kuzaliwa nchini kwao basi huyu ni raia wa Tz na haitaji kuukana uraia ambao haumtambui
  B. Kama nchi aliyozaliwa inampa uraia mtu kwa kitendo cha kuzaliwa nchini kwao basi huyu ana uraia wa nchi mbili(dual citizenship) akifikisha miaka 18 inabidi aukane uraia wa nchi aliyozaliwa maana wanamtambua raia wao kwa kitendo cha kuzaliwa kwenye nchi yao

  Hii ni kama No 1, anakuwa na uraia wa nchi mbili(dual citizenship), yaani wa baba/mama ambye ni Mtz na wa mama/baba ambaye si Mtz


  Genaral rule ni kwamba mtoto anapozaliwa na wazazi wa nchi mbili tofauti mtoto anakuwa na uraia wa nchi zote mbili bila kujali alipo zaliwa na itabidi aukane uraia mmoja ili kubaki na mwingine, ingawa kunanchi ni ruhusa kuwa na uraia wa nchi mbili
  Kuna kesi inabidi mtoto anakuwa na urai wa nchi tatu
  Mfano mimi nakutana na mkenya USA na tunapata mtoto huko, Mtoto atakuwa na uraia wangu baba na atakuwa na uraia wa mama na atakuwa na uraia wa usa kwa kitendo chake cha kuzaliwa ndani ya USA
   
 16. S

  Shembago JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu Soi ikitokea magamba wakashinda wa kuiba kura kama kwaida yao,Sioi atavuliwa Ubunge tu mahakamani,jaji Lubuva naye alilipa fadhila kwa kuteukiwa na Mkt wa Magamba kuwa Mwenyekiti wa Tume.Jamani katiba mpya ni muhimu sana kuondoa huu upuuzi wote.
   
 17. mundo

  mundo JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2012
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Sasa Jinsi Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, Judge Lubuva alipojibu kuwa tumewauliza wenzetu wakenya wenyewe wanataratibu gani kwa mtu mwenye situation kama ya mgombea wetu. kwa nini wawaulize wakenya? .....Kweli poleni kina BASHE.

  SASA INAMAANA HILI SUALA NDIO ITAKUWA IMETOKA? NA ALIYEFUNGUA PINGAMIZI HILO AMERIDHIKA NA MAJIBU HAYO?
   
Loading...