Wakuu naona nipo nyuma kidogo, Hivi uchaguzi wa wale madiwani wa Arusha nao unafanyika April? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu naona nipo nyuma kidogo, Hivi uchaguzi wa wale madiwani wa Arusha nao unafanyika April?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by everybody, Mar 23, 2012.

 1. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimeachwa nyuma kidogo na update za madiwani wa CHADEMA waliofukuzwa Arusha. Je uchaguzi wao nao unafanyika April sambamba na wa mbuge wa Arumeru au bado kuna issue za kimahakama hazijakamilika?
   
 2. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu, huo bado upo upo kwanza!
   
 3. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wale madiwani walipeleka pingamizi mahakamani.
   
 4. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Haufanyiki because kuna pingamizi mahakamani.
   
 5. W

  WILSON MWIJAGE JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ndugu,

  Baada ya mahakama kutamka kuwa si madiwani tena mara baada ya kusikiliza kesi yao, wale jamaa 5 walikata rufaa. Mpaka sasa rufaa yao haijasikilizwa na kutolewa maamuzi, hivyo basi kata zao zipo kipolo mpaka rufaa ikisikilizwa na kutupwa. Subiri kidogo mambo nako yatapendeza
  :cool2:
   
 6. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nashukuru wakuu kwa update...Anyway ngoja tuvute subira
   
Loading...