Hbr ya Gazeti la Mwananchi la trh 23 isemayo Mwanafunzi makumira avamiwa ni ya uongo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hbr ya Gazeti la Mwananchi la trh 23 isemayo Mwanafunzi makumira avamiwa ni ya uongo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by yplus, Mar 23, 2012.

 1. y

  yplus Senior Member

  #1
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kupigwa kwa Mwanafunzi wa Makumira ambaye ni kada wa CCM haihusiani kabisa na Siasa,nilikuwepo eneo la tukio na hakupigiwa nyumbani ni ugonvi wa Bar,Mwandishi wa Mwananchi kuhusu hii habari amepotosha umma...
  Nawasilisha ukweli kuhusu tukio zima...
  Ugonvi ulianza hivi...
  Kijana Emmanuel Kahaya alikuwa Bar anakunywa Pombe,wakatokea vijana wengine walio kuja na wao kunywa.Mida ilikuwa imekwenda sana.Rafiki wa Emmanuel Kahaya anayejulikana kwa jina la Filbert alimnunulia bia Kijana ambaye ndo mshtakiwa anayeitwa Chriss.Bar Meid aligoma kutoa hiyo bia kwa madai ya kuwa muda umeisha anafunga Bar.Ilikuwa mida ya saa saba usiku.Huyo kijana Chriss akaingia kwenye mzozo na mhudumu huyo wa Bar na kutukanana sana.Baadae Kahaya aliingilia kati na kumtaka huyo kijana aache kumtukana huyo Dada aliyegoma kuhudumia Bia,Kijana Chriss hakupenda Kahaya kuingilia hiyo mada ndipo ugonvi ulipo zuka na kuanza kupigana hapo Bar.Kwa kuwa Kahaya alikuwa amelewa,alikuwa anadondoka dondoka na akaumia mikononi...
  Habari iliyo andikwa na gazeti la Mwananchi kuwa alikutwa chumbani kwake anajisomea akatekwa,akawekewa kitambaa mdomoni na kuburuzwa nje nakupigwa sana ni ya uongo kwa asilimia 100.

  Polisi tumieni busara msisikilize maneno ya Emmanuel Kahaya kwa kuwa Kaka yake ni Mbunge Mjeruhiwa wa kura za Maoni CCM Arumeru...
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145

  Mkuu unaonaje kama ukiwasiliana na polisi moja kwa moja ili uwe shahidi namba moja ili kumnusuru kijana mwenzio chriss asibambikiwe kesi? au unaogopa kushikiliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano zaidi!?
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kwa jinsi serikali yetu ilivyo na polisisisiem walivyo wanaweza wakamgeuzia kesi kwa 75%
   
 4. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kutokana na maelezo haya, gazeti la Mwananchi mdiyo linamkaribisha MD mpya? Endapo kesho hakutakuwa na update ya habari hii, ndugu yangu Mhando kauvaa mkenge.
   
 5. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,464
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Wapumbavu sana! Hakuna journalist pale, Tido atakuwa na wakati mgumu sana kufanya kazi na hawa madunya. Shame on them!
   
 6. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nakushauri utume haya maelezo kwa mhariri wa gazeti la mwananchi pia, ili awe updated...
   
 7. R

  RUTARE Senior Member

  #7
  Mar 23, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata akienda kutoa ushahidi huo Chriss bado ana kesi sema itakuwa ndogo kuliko ya kubambikiwa
   
 8. msnajo

  msnajo JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 2,464
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Wazo zuri.
   
Loading...